Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Mkuu una akili timamu?au linalokushangaza hapo ni nini?watu kufanya mapenzi salama au!!!hebu kuwa mtu mzima basWadau nishaurini,
Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani?