Nilikabidhi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika ndani

Nilikabidhi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika ndani

Wadau nishaurini,

Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani?
Mkuu una akili timamu?au linalokushangaza hapo ni nini?watu kufanya mapenzi salama au!!!hebu kuwa mtu mzima bas
 
Back
Top Bottom