Nilikabidhi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika ndani

Wadau nishaurini,

Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani?
Ukitaka condm zitumike nje we kushukuru aamekumbuka unawasema laana hiii mkuuu wao wameacha wakezao wana upwiruuu kama wewe ukiwakwakkoo wanahaki kujisitiriiii

Kwanza vyumba ukiwapa vya kulala hutakiwi kuchunghza unafikri wale mama ntilie watapataje mimba ndio maana awataki kuolewa .....

Wape mda wamalizekaz yakk
 
hionyumbu kamaulikua na plan yakuishi na familia usifanye hivyo washaitia nuksi utatombewa mke watoto hadi vijukuu.
Ndugu yangu nimekuelewa, jirani zangu wamenambia hiyo ni nuksi mbaya sana πŸ˜₯
 
Yule Binti Yako uliemtuma aende kuangalia km mafundi wanaendelea na kazi na mifuko ya cement imetumika mingapi, ndo alinyonyolewa manyoya siku ya tukio


Tayari Kwa uzinduzi wa nyumba
Maanishaaa amezindua kabla ya baba yake hahahahahuwiiiu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…