Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Mimi ningeroga huyo askari.
 
Hayajakukuta mkuu
 
Polisi sasa hivi nikama genge,siyo chombo cha haki yaani unaweza kukodi polisi wakafanya tukio au wakamfanyizia mtu kama unataka,ni hela yako tu.yaani mtu mwnye hela anaweza akaamua akuweke ndani bila tstizo na ukakaa na mateso ukapata,limekuwa kama genge la mafia mwenye hela ndo mbabe siku hizi!
 
Mkuu, hili suala lako ni zito.. Je, umejaribu kumtafuta iGP au SSH?
Hapo sasa ndio wengi tunamuuliza tukimpa ushauri aanze upya maana March 2021 alipowekwa ndani ndio mwezi wa kuondoka Mwendazake
Hawa watu wa rushwa Tarura walijua Mwendazake yupo
Story inaonesha mleta Mada ni Contractor upande wa Barabara aliitwa Dsm akitokea Dodoma. Leo ni uongozi mwingine wa Rais anashindwaje kwenda
 
Kazi za ukandarasi ni heri uwe mkweli wakati wa ku-bargain na wadau/wahusika. Kuna wakandarasi ni wazinguaji sana.
Imagine mtu ame-take risk, amekuongezea 50m, ili yeye umpe 20m tu, lakini bado unatokomea nayo na unakuja kulialia hapa
 
Kazi za ukandarasi ni heri uwe mkweli wakati wa ku-bargain na wadau/wahusika. Kuna wakandarasi ni wazinguaji sana.
Imagine mtu ame-take risk, amekuongezea 50m, ili yeye umpe 20m tu, lakini bado unatokomea nayo na unakuja kulialia hapa
Ukweli upi unataka?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haya maelezo yanazungumzia Hali halisi ya uonevu wanaofanyiwa watu wengi na watu wenye uwezo kwa kushirikiana na vyombo vya utoaji haki kwa kweli watu wengi sana wamefungwa bila kosa lolote wengi wanasota mahabusu bila kosa lolote kesi hazina hata ushahidi na mtu hawezi kupata msaada popote systems zinalindana yaani we acha tu Tanzania haki ni pesa usipokuwa nayo imekula kwako
 
nyie mashoga ambao mnasema hii ni chai na kwamba mambo kama hayo aliyosimulia hayawezekan kutokea, basi mtakua hamuijui vzuri Tz mbwa nyie
 
Aisee pole sana,ila kuna watu ni wakatili kwa kwel,kisa rushwa unamfanyia binadamu mwenzio hivyo

Ila kama ni mimi ndo nifanyiwe hvyo ningehakikisha huyo jamaa nammaliza kwa namna yoyote,yaan ingekuwa ni kazi yangu ya kumfatilia mpaka nimmalize
 
Hujielew ww...au wakat mfanyabiashara j4 anaua hao mbwa wa tiss walotaka kumuarest hukua umezaliwa?
 
Ujamroga?! Kweli utaenda peponi
 
Kuna haja ya kubadilisha sheria tuwe na Police service badala ya Police force inayotumia nguvu na unyanyasaji wa raia
 
Aise pole sana....ila ungekua wewe ni mume wangu aise ningekubali nife na mmoja! Kwanza roho inaniwamba hapa
 
Kama unamjua huyo mtu alipo .. naweza mbaka mbele yako uridhike au chochote unachotaka mfanyia NB Sina uchawi
 
Kwanini unaficha uonevu na unyama kama huu. Inatakiwa useme una utaje kila baya walilokufanyia ili hao watu wajulikane. Wanakuingiza selo bila kuandikishwa mapokezi. Kiongozi ww una tatizo sana. Ushahidi unao huyo jamaa wa TARURA hao walitaka kukuua.
Wakimuua kabla je? Sio kila kitu cha kutaja public
 
Pole sana ila wewe ulikosea. Hukupaswa kuchukua kazi ya rushwa kama ulifahamu huwezi kuchukua rushwa. Na hili ndilo doa ambalo Dkt Magufuli lilimharibia sifa, hao watu usikute kama Dkt Magufuli angekuwa hai wangesema wametumwa na Rais. Inasikitisha sana.
 
Koma! Nisifukuzishe marafiki zangu kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…