Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Siku utayoingia kwenye mfumo utaukumbuka huu uzi. Uzuri ubaya haungalii sura.
Muache huyo Gachagua kwani tulitarajia angekuwa mpinzani mkuu kuanzia 2024!

Mpaka limkute ndio atajua ubaya hautakiwi kuchekewa hata ukirembwa kama keki.

Mwisho huyu jamaa issue yake iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom