Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho


Hawa ndiyo kina Kingai sasa katika ubora wao
 
Kazi za ukandarasi ni heri uwe mkweli wakati wa ku-bargain na wadau/wahusika. Kuna wakandarasi ni wazinguaji sana.
Imagine mtu ame-take risk, amekuongezea 50m, ili yeye umpe 20m tu, lakini bado unatokomea nayo na unakuja kulialia hapa
Risk gani wote wezi, hakuna wa kumbana mwingine.
 
Kaka hata ungeenda kumtoa kafara huyo fala usingepata dhambi. Pole sana, ndo changamoto za utafutaji
 
Wewe ni mpotoshaji tu, yote uliyoandika ni uwongo.
 
Huu wote, ni uwongo, ninajua ni kwa nini katunga uwongo huu.

Na wewe Dr. ninaamini unajua.
 
Kwani hukwenda kwa mganga wa kiasili ili amshughulikie kisawasawa huyo hayawani ?
 
🤣🤣🤣🤣Ila police 🚓 dhambi hizi kwa Mungu watafika kwer!
 
Unaweza kudhani ni stori tu. Mungu ni mwema alikuokoa Uhai wako.
 
Haya maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…