magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Aug 23, 2024 #261 Ninja assasin said: Chai ya rangi asubuhi yote hiii shekhe Click to expand... Siku utayoingia kwenye mfumo utaukumbuka huu uzi. Uzuri ubaya haungalii sura.
Ninja assasin said: Chai ya rangi asubuhi yote hiii shekhe Click to expand... Siku utayoingia kwenye mfumo utaukumbuka huu uzi. Uzuri ubaya haungalii sura.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Jan 4, 2025 #262 magnifico said: Siku utayoingia kwenye mfumo utaukumbuka huu uzi. Uzuri ubaya haungalii sura. Click to expand... Muache huyo Gachagua kwani tulitarajia angekuwa mpinzani mkuu kuanzia 2024! Mpaka limkute ndio atajua ubaya hautakiwi kuchekewa hata ukirembwa kama keki. Mwisho huyu jamaa issue yake iliishia wapi?
magnifico said: Siku utayoingia kwenye mfumo utaukumbuka huu uzi. Uzuri ubaya haungalii sura. Click to expand... Muache huyo Gachagua kwani tulitarajia angekuwa mpinzani mkuu kuanzia 2024! Mpaka limkute ndio atajua ubaya hautakiwi kuchekewa hata ukirembwa kama keki. Mwisho huyu jamaa issue yake iliishia wapi?
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 4, 2025 #263 RIP ,Former DGIS Kombe