Nilikataa mchongo wa kutimkia Canada, sasa najuata kwa hali mbaya niliyokuwa nayo hapa TZ

Nilikataa mchongo wa kutimkia Canada, sasa najuata kwa hali mbaya niliyokuwa nayo hapa TZ

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Aisee

Jua kali sana upande wangu mjini DASILAM

Nilisita kusgn dili la kutimkia huko duniani canada kwa makubaliano mkataba wa kazi ungeisha ningekuwa huru kujipambania na kuangaikia makaratasi yangu mwenyewe

Misingi imeniweka TZ, Mkataba ulikuwa unabana sana ma_agent walikuwa wengi sana so pesa ilikuwa ina makato mengi sana na mkataba ulikuwa wa miaka miwili kazi ni kubeba boks si inajulikana kazi za viwandani huko duniani

Ila lile dili ningelipata sasa hivi hali ilivyombaya hivi upande wangu ninge sign chap sana nitimke aisee, ile network haipo tena na ni pesa nyingi sana kununua kazi pesa ya kununua kazi ni bora nifanye mtaji tu bongo, kipindi kile ilikuwa rahisi sana

Aisee nomaa
 
weka mkataba ulikuaje
 
Back
Top Bottom