Nilikosea kumlipa?

Afadhali umenikumbusha mkuu,hiyo kitu nilisahau kabisa na kwa kuwa alinitimua nikimuota tena namkomesha kwa kumla hiyo kitu.

Fanya hima umuote leo ule uto tutigo.ukichelewa wenzio twala
 
mh alikupa paka kwa mapenzi yake...hakutaka ujira...tatizo umezoea vya kulipia ndio maana kila mtu unadhani anapaswa kulipwa.....huyo dada atakuwa amejihisi amedharauliwa sana kufananishwa na changu doa!.kwa hasira hio usitarajie kuota ndoto tena hahahahha mwaka 2011 utakuwa mpweke labda umpate mwingine wa kumuota...imekula kwako...lols!
 

lazima nikuote leo
 



Haya mama kwa kuwa kule nimefukuzwa basi naona usiku wa leo nitakuota wewe,swali sasa nikishakuota na wewe nije kukulipa,au nikusimulie tu?
 
hahhahahahahahah nazidi kukupa mashaka BAK???....:redfaces::redfaces:😛arty:

maana anaweza kuwa anakuota kila siku na ukapata mgao wako kila siku iendayo kwa Mungu na kwenye ndoto sidhani kama huwa tunaweza kuweka mipaka hahahahahahah vinginevyo tungezikwepa ndoto za kutisha
 
Huyo ni pepo au jini. Alivaa sura ya huyo dada kusudi umkubali. Kemea kwa imani yako lisikufuate tena.
 
Inakaa Godoro lilitaabika sana usiku huo!!!, Tafuta kitu cha kukutuliza Mzeeee!!!!
 
happy new year mkulu... naona 20111 inakuja na staili mpya kwako:bump:
 
happy new year mkulu... naona 20111 inakuja na staili mpya kwako:bump:





Huu ni ujumbe mpya kwa mwaka huu kuwa hata wakitunyima bado tunawa do tu, hata kwa ndoto.Ila mkuu huo mwaka sijui kama dunia bado itakuwa hai?
 
Kosa lako lilikuwa kumvua nguo zake za ndani bila ridhaa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…