Nilikosea kumlipa?

Nilikosea kumlipa?

Afadhali umenikumbusha mkuu,hiyo kitu nilisahau kabisa na kwa kuwa alinitimua nikimuota tena namkomesha kwa kumla hiyo kitu.

Fanya hima umuote leo ule uto tutigo.ukichelewa wenzio twala
 
mh alikupa paka kwa mapenzi yake...hakutaka ujira...tatizo umezoea vya kulipia ndio maana kila mtu unadhani anapaswa kulipwa.....huyo dada atakuwa amejihisi amedharauliwa sana kufananishwa na changu doa!.kwa hasira hio usitarajie kuota ndoto tena hahahahha mwaka 2011 utakuwa mpweke labda umpate mwingine wa kumuota...imekula kwako...lols!
 
lazima nikuote leo
 
Haya mama kwa kuwa kule nimefukuzwa basi naona usiku wa leo nitakuota wewe,swali sasa nikishakuota na wewe nije kukulipa,au nikusimulie tu?
 
hahhahahahahahah nazidi kukupa mashaka BAK???....:redfaces::redfaces:😛arty:

maana anaweza kuwa anakuota kila siku na ukapata mgao wako kila siku iendayo kwa Mungu na kwenye ndoto sidhani kama huwa tunaweza kuweka mipaka hahahahahahah vinginevyo tungezikwepa ndoto za kutisha
 
Huyo ni pepo au jini. Alivaa sura ya huyo dada kusudi umkubali. Kemea kwa imani yako lisikufuate tena.
Kuna siku nilitokewa na ndoto nzuri na ya kupendeza.Usiku huo niliota nipo na msichana mrembo wa kuvutia ambaye kila kijana pale mtaani alikuwa akitamani kuwa naye.Na mimi katika ndoto hiyo nilimfaidi barabara,maana ilikuwa nikiamka na kujisafisha narudi tena kulala, naye anakuja tena na ndoto inaendelea na tuna do tena,hali hiyo ilijirudia mara tatu mpaka kulipokucha.Asubuhi yake nikajiona kuwa sitamtendea haki dada wa watu endapo sitamlipa ujira wake kwa kazi aliyonitendea ukizingatia kuwa mimi pia sipendi vya bure.Basi mtoto wa kiume nikatoka mpaka anapoishi yule dada na kutoa kitita cha noti na kumkabidhi,akaniuliza unanipa pesa ya nini?Nikamsimulia ndoto yangu,We!Nilikoma jinsi alivyonitoa mbio siku hiyo mpaka nikajiuliza kosa langu lilikuwa lipi?Kumlipa ujira wake?Kuota ninado naye?Au ujasiri wangu wa kwenda kumsimulia ndoto yangu.
 
Inakaa Godoro lilitaabika sana usiku huo!!!, Tafuta kitu cha kukutuliza Mzeeee!!!!
 
happy new year mkulu... naona 20111 inakuja na staili mpya kwako:bump:
 
Huu ni ujumbe mpya kwa mwaka huu kuwa hata wakitunyima bado tunawa do tu, hata kwa ndoto.Ila mkuu huo mwaka sijui kama dunia bado itakuwa hai?
 
Kosa lako lilikuwa kumvua nguo zake za ndani bila ridhaa yake
kuna siku nilitokewa na ndoto nzuri na ya kupendeza.usiku huo niliota nipo na msichana mrembo wa kuvutia ambaye kila kijana pale mtaani alikuwa akitamani kuwa naye.na mimi katika ndoto hiyo nilimfaidi barabara,maana ilikuwa nikiamka na kujisafisha narudi tena kulala, naye anakuja tena na ndoto inaendelea na tuna do tena,hali hiyo ilijirudia mara tatu mpaka kulipokucha.asubuhi yake nikajiona kuwa sitamtendea haki dada wa watu endapo sitamlipa ujira wake kwa kazi aliyonitendea ukizingatia kuwa mimi pia sipendi vya bure.basi mtoto wa kiume nikatoka mpaka anapoishi yule dada na kutoa kitita cha noti na kumkabidhi,akaniuliza unanipa pesa ya nini?nikamsimulia ndoto yangu,we!nilikoma jinsi alivyonitoa mbio siku hiyo mpaka nikajiuliza kosa langu lilikuwa lipi?kumlipa ujira wake?kuota ninado naye?au ujasiri wangu wa kwenda kumsimulia ndoto yangu.
 
Back
Top Bottom