Nilikua natoa manii yenye damu for Weeks

Nilikua natoa manii yenye damu for Weeks

Any update??
Sijatokwa tena na damu ila kuna vitu vimebadilika;

1) Normally hua nina control during orgasm. Yaani unlike others mimi hua nakua alert na ninaweza cum bila kujikunja au kukunja sura ila baada ya hii ishu nmekua sensitive mno towards sex na nimekua sina control wakati nacum. Yaani naona imekua too much sweet kiasi hadi nasema.

2) Mwanzo ilikua nikikaa kuanzia siku nne bila sex siku nikifanya nikicum zinatoka nyingi mno na zitapungua kadri rounds zinavyoongezeka. Sasa hivi naona nina same amount, haijalishi siku zimepita au ni raundi ya kwanza au ya tatu.

3) Mwanzo ilikua nikicum na nikamaliza hata baada ya kumaliza bado kuna mabaki yatakua yanavuja. Kwa sasa nikimwaga ndo nimemwaga hazitoki tena hizo zinazobaki.

Nafikiri over time nitarudi kua normal. Ila damu hakuna kabisa.
 
Back
Top Bottom