NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Usingesema ndoto tungesema Ni UONGO,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
StupidKipindi hicho ilikuwa napenda sana kushinda Facebook ikatokea nimekutana kufahamiana na msichana mmoja hv katika comments za page maarufu.
Mara nyingi alikuwa akipenda kuweka likes na kureply pale nnapotoa comment au kwenye profile yangu baada ya kuwa marafiki.
One day mtoto akanijia inbox tukachat sana kwa muda mrefu tukazoeana hadi kubadilishana namba.Baada ya miezi kadhaa nikiwa nimetokea kumuelewa nikamrushia ndoano bila hiyana akadaka.
Siku moja akasema tuonane tukapanga sehemu ya kuonana,kesho yake nikachukua bajaj kwenda eneo tulilokubaliana kwenye hotel fulani.
Ile kushuka nilikutana nae moyo ulibast kwa mshtuko baada ya kuona ni mrembo zaidi ya nilivyoona picha zake.Alikuwa na mrefu wastani mzuri mwenye hips matata kifuani chuchu saa 6 na nyuma sio haba.
Alinishangaza sana baada ya kutoa pesa na kumlipa mwenye bajaj,nilijihisi tofauti.
Tulispend pamoja ile siku hadi tukazama kwa kisima cha huba,alikuwa ni mtamu haswaaa!!!
Bahati mbaya nikashtuliwa natakiwa niamke niwahi shule kumbe ilikuwa ndoto,kujicheki chini huko nimejichafulia nilimaind kinyama hiyo ndoto.
ENZI HIZO HATA DEMU SINA[emoji23] [emoji23]