Elections 2010 Nilikuwa mkereketwa wa CHADEMA lakini nimejitoa

Na haya 'mavadhi' yanahashiria nini?


Na hawa watoto ndio wanaandaliwa?

Kijani ni rangi ya amani ( sio Rais Amani). Vile vile ni Rangi ya Mazingira bora, kama mimea. Hivi hujui kuwa duniani kote sasa hivi hutumia rangi ya kijani kama mazingira bora.

Hata bendera ya Tanzania ina kijani. Sina zaidi.
 
ULIKUWA AUNAOTA AU VIPI NJAA SEMA NAYO ILA UTAKUWA MJINGA PALE UTAKAPO ISHIWA KILE ULICHOPEWA JANA,
cONQUEST-HAUNA KADI YA CHADEMA ACHA UZUSHI PILIPILI ULIO LISHWA ITAKUWASHA MWENYEWE:mmph:

Nikikuonyesha kadi utampigia Kikwete?
 
Kijani ni rangi ya amani ( sio Rais Amani). Vile vile ni Rangi ya Mazingira bora, kama mimea. Hivi hujui kuwa duniani kote sasa hivi hutumia rangi ya kijani kama mazingira bora.

Hata bendera ya Tanzania ina kijani. Sina zaidi.

Rangi ya uniform za wanajeshi wengi duniani wanaoua wanawake na watoto bila hatia yoyote ile
 
naamini kwenye suala la uhuru wa maoni lakini vilevile inabidi admn uweke minimum IQ requirement kupost kwenye hii forum ,mtu anasema dr slaa si maarufu dar wala dodoma atakaa ikulu ipi? sikumbuki kusoma comment ya kipumbavu zaidi hii


Hapo kwenye nyekundu utakua umemweka malaria sugu kwenye ignore list. These are the kind of things we usually get from him.
 
[/COLOR]

Hapo kwenye nyekundu utakua umemweka malaria sugu kwenye ignore list. These are the kind of things we usually get from him.

Ukifanya muhtasari wa hoja zenu zote utapata maneno mawili u kuwa 'UKWELI MNAUJUA' mnachofanya ni utani.

Sasa maswala ya nchi hayana utani, ukimchagua mtu akapoteza nchi basi ni vigumu sana kuirudisha katika mwelekeo sahihi. Jaribuni kufikiria watoto wenu ambao hawana haki ya kupiga kura nanyi ndio wawakilishi wao. Kura yako tar 31.10 ndio tegemeo la hawa watoto wenu, wajukuu na vitukuu. Ukifanya uamuzi sahihi wao baada ya miaka kadhaa watafaidika na watakusifu. Kumbuka Rome haikujengwa kwa siku moja.

La kuzingatia, usiige eti nchi fulani ilikitowa chama tawala basi tukitoe kwani sababu za wao kukitoa itatofautiana na ile ya nchini kwako Tanzania. Tumefika pazuri, sina maana kuwa watu kijijini wanamaisha mazuri ila narudia tena ROMA HAIKUJENGWA KWA SIKU M OJA. Hili nyie mwalifahamu.

Chagua Kikwete uendeleze kujenga nchi, ni chaguo la maisha yako ya baadaye, la wajukuu wako la uchumi.

Mafisadi walikuwa kabla yake si rahisi kuwatokomeza kwa siku moja, lakini upepo mkali wawafikia na sasa anataka kumalizia kazi aliyoibakiza.

PIGENI KAMPENI CHADEMA LAKINI CHAGUENI KIKWETE.
 
Jamani huu ndio wakati wa kuiokoa nchi, propaganda ni propaganda lakini ukweli unabaku pale pale.

Nilipojitoa kwenye chama nilifanya hivyo kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kweli mimi nimeteseka lakini hii haina maana kuwa kizazi kijacho chote nacho kiteseke. Unanafasi, na unapoipata itumie majuto ni mjukuuu. Hivi hamuoni kuwa Mh Slaa hatoweza kuiongoza hii nchi? Hili si suala la kujaribisha, kufanya hivyo ni kucheza na moto.

JE MKO TAYARI KUCHEZA NA MOTO? Nahakika jibu ni hapana. Kama hivyo ndivyo usisikie ya watu wewe fanya uamuzi wako peke yako, hatuna muda tena.

CHAGUA MAISHA YAKO YA BAADAYE, CHAGUA KIKWETE.
 
Umbea mtupu!!!!
 

Umeokotwa na njaa zako na hao CCM, kafie huko mbw kachoka wewe!
 

Ama kweli umeishiwa kabisa hii ni piece of crap again from you!
 

Ndugu yangu ninakupenda sana, na pia naipenda sana Tanzania. Naamini watu wengi watakaoipigia CHADEMA kura ni watu ambao hawana hata kadi ya CHADEMA. Kama unamaanisha unachokisema, basi Mungu akufunulie na kukusaidia. Ila kama ni ushabiki tu, basi kabla hujatoka duniani utakuja kujutia maneno yako.
Kaa ufikilie, watu wote wenye akili wanaojua nini shida ya nchi hii wanakuambia Dr. Slaa anafaa na nchi inahitaji mtu kama yeye.
Narudia kama wewe si FISADI au mtoto wa FISADI, basi utakuwa umetumwa. Lakini hata hivyo wahurumie watoto na wakina mama wanaoteseka kwa maisha maisha magumu yaliyosababishwa na CCM. Mpigie DR. Slaa Kura Yako ili kama si wewe Uzao wako ufaidike na Kura yako Moja Tu. Yaani ni sawa na kuweka akiba benki.
 

Ni sawa na kuweka akiba BENKI-Ni maneno sahihi kabisa, lakini lazima ujue ni BENKI ipi unaweka, DECI au NBC, NMB au CRDB.

Unaweza kupata kigugumizi utapoambiwa uchague kati ya NBC, NMB au CRDB. Lakini kamwe hutashikwa na kigugumizi ikiwa uchaguzi ni kati ya DECI na Benki hizo nyingine.

Sina aibu kusema kuwa kumpa kura yako Mh Slaa ni sawa na kuweka pesa yako DECI.

Kumchaguia Kikwete ni sawa na kuweka pesa yako NBC, NMB au CRDB.

Uchaguzi ni wako.

Mimi si FISADI wala Mtoto wa FISADI, bali ninachojua ni kuwa kukuwa kwa uchumi nchi zote za Afrika ni kati ya 5-8%. Sisi uchumi wetu mwaka jana pamoja na mtikisiko wa uchumi ulikuwa kwa 6.5%, hivyo mambo si mabaya. Sasa kwanini tusimchague Kikwete.

Jamani tuwe na shukurani wakati mwingine, tutapata laana!
 


Zao la fisadi hili!
 
Kijani ni rangi ya amani ( sio Rais Amani). Vile vile ni Rangi ya Mazingira bora, kama mimea. Hivi hujui kuwa duniani kote sasa hivi hutumia rangi ya kijani kama mazingira bora.

Hata bendera ya Tanzania ina kijani. Sina zaidi.
Buahahaha eti rangi ya kijani ni ya amani, na rangi nyeupe ni ya nini? Hao wanajeshi wanaovaa migwanda ya kijani ambao kila siku wanapiga raia wasio na hatia nao ni watetezi wa amani? Duh wewe kiboko eti kutumia rangi ya kijani ni kama mazingira bora Kinacholeta mazingira bora ni vitendo sio rangi ya nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…