Nilikuwa mlevi sana wa kuokota wanawake wa kila aina nikafilisika

Mmmh mambo ya Sheila hayo ... kapime tu mkuu
 
Yaani uendekeze umalaya halafu usingizie umerogwa nyota imeibwa..? πŸ˜‚πŸ˜… Uzinzi hufilisi pesa na akili, Pombe humaliza pesa...
 
Hyo kula kisamvu tu ni Laana kubwa
Hapo usimsingizie mdada wa Watu!
Fanya toba ili mwenyez mungu awe radhi nawe
 
Kisheria inabidi ukamatwe.
Kufanya mapenzi kinyume na maumbile kwa sheria za nchi yetu ni kosa na ikithibitika utafungwa kifungo kisichopungua miaka mitano.
 
Shida ilikua ukishapiga, mnarudi kunywa siku nzima ili ukazibue tena. Pombe haifilisi kama una timing nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…