Nike, Addidas wabongo mtamudu kuzinunua?.Nilikuwa naona aibu kuona timu ya serikali imevalishwa fulana badala ya jezi. Nilikuwa namuoenea huruma Rais wa TFF kavaa tambala badala ya jezi.
Mwanzo nilimkataa Sanda kwakuwa alikuwa anatoa jezi ya Simba pia, lakini baadae nilimkataa kwasababu ya ubora wa jezi. Sina jezi ya Timu ya Taifa kwaajili hiyo.
Kwenye mashindano ya AFCON na CHAN nilikuwa naona timu nyingine za taifa za nchi nyingine zikiwa zimevaa jezi bora kabisa za adidas, nike, kappa, umbro, puma, nk wakati sisi tukiwa tumevaa jezi zinazochanika zikivutwa uwanjani.
Jezi ya timu ya taifa lazima iwe kali zaidi ikibidi kuliko jezi za vilabu. Serikali lazima iweke ruzuku kwenye jezi hiyo ili kila mtu aweze kuinunua na kuifanya kuwa ya mtoko, maana ni utambulisho wa taifa.
Dawa mahospitalini tunapewa msaada sembuse jezi, Jezi ya hizo kampuni mnazotaja hamna hamna jezi moja ilipiwe laki tatu mpaka nne, wewe mwenyewe hutaweza kununua alaf unakuja kupayuka upupu apa kama bashiteSerikali inaweza kununua halafu sisi tunaipata kwa bei ya ruzuku kama 50% au 70% ya bei halisi
AiseeeSerikali inaweza kununua halafu sisi tunaipata kwa bei ya ruzuku kama 50% au 70% ya bei halisi
Laki nne kwa t-shirt moja!! hauko serious!!Dawa mahospitalini tunapewa msaada sembuse jezi, Jezi ya hizo kampuni mnazotaja hamna hamna jezi moja ilipiwe laki tatu mpaka nne, wewe mwenyewe hutaweza kununua alaf unakuja kupayuka upupu apa kama bashite
Aiseeh! Kirahisi hivyo.Serikali inaweza kununua halafu sisi tunaipata kwa bei ya ruzuku kama 50% au 70% ya bei halisi
Wakati Sandaland ana sign mkataba mlikuwa wapi?ndio tuvae sandaland!! umerogwa!! Si afadhali hata ya diadora mara mia 9
Nouma nanusu hahah