Nilikuwa na ndoto ya udaktari ila nimefeli Physics

Nilikuwa na ndoto ya udaktari ila nimefeli Physics

Teknolojia, nadhani umeelewa. Chochote kinachohusu teknolojia na kiwe na hesabu ndio cha kusoma.
Sahihi kaka.

Maana leo medicine inategemea technology saaana kuliko technology inavyotegemea medicine.

Mambo ya ultrasound,x-rays n.k yote hayo technology ndo imekuja kufanya mapinduzi katika medicine
 
Back
Top Bottom