Mervin JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 1,914 Reaction score 2,630 Jan 21, 2022 #21 Joanah said: Member since 2013 Umemaliza form four mwaka jana sio?Pole Click to expand... Kwani ni lazima kila anae andaa thread iwe ina mhusu yeye??
Joanah said: Member since 2013 Umemaliza form four mwaka jana sio?Pole Click to expand... Kwani ni lazima kila anae andaa thread iwe ina mhusu yeye??
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jan 21, 2022 #22 Wewe ni mpuuzi, badala ya kusoma vitu vya maana, umekazana na kutibu watu.
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Jan 22, 2022 #23 Meneja Wa Makampuni said: Wewe ni mpuuzi, badala ya kusoma vitu vya maana, umekazana na kutibu watu. Click to expand... Kama vipi hivyo vya maana mkuu ππ
Meneja Wa Makampuni said: Wewe ni mpuuzi, badala ya kusoma vitu vya maana, umekazana na kutibu watu. Click to expand... Kama vipi hivyo vya maana mkuu ππ
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jan 22, 2022 #24 safuher said: Kama vipi hivyo vya maana mkuu ππ Click to expand... Teknolojia, nadhani umeelewa. Chochote kinachohusu teknolojia na kiwe na hesabu ndio cha kusoma.
safuher said: Kama vipi hivyo vya maana mkuu ππ Click to expand... Teknolojia, nadhani umeelewa. Chochote kinachohusu teknolojia na kiwe na hesabu ndio cha kusoma.
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Jan 22, 2022 #25 Meneja Wa Makampuni said: Teknolojia, nadhani umeelewa. Chochote kinachohusu teknolojia na kiwe na hesabu ndio cha kusoma. Click to expand... Sahihi kaka. Maana leo medicine inategemea technology saaana kuliko technology inavyotegemea medicine. Mambo ya ultrasound,x-rays n.k yote hayo technology ndo imekuja kufanya mapinduzi katika medicine
Meneja Wa Makampuni said: Teknolojia, nadhani umeelewa. Chochote kinachohusu teknolojia na kiwe na hesabu ndio cha kusoma. Click to expand... Sahihi kaka. Maana leo medicine inategemea technology saaana kuliko technology inavyotegemea medicine. Mambo ya ultrasound,x-rays n.k yote hayo technology ndo imekuja kufanya mapinduzi katika medicine
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Jan 22, 2022 #26 Meneja Wa Makampuni said: Teknolojia, nadhani umeelewa. Chochote kinachohusu teknolojia na kiwe na hesabu ndio cha kusoma. Click to expand... Ila nadhani kama mtu anapenda udaktari aachwe asome udaktari maana kila mtu na passion yake
Meneja Wa Makampuni said: Teknolojia, nadhani umeelewa. Chochote kinachohusu teknolojia na kiwe na hesabu ndio cha kusoma. Click to expand... Ila nadhani kama mtu anapenda udaktari aachwe asome udaktari maana kila mtu na passion yake