Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Mazda rx-8 inatumia rotary engine, cc ndogo ila power kubwa hence wese la kutosha
 
Kwahiyoulishawahi kuwa mfilaji?
 
Safi umefanya maamuzi sahihi.
 
We jamaa ulizingua sana, taa kitu gani, unaacha tu watu wapige honi unashuka kutafuta kitu roho inapenda, hata traffic kama sio mnoko angeelewa tu.

Usijerudia upuuzi kama huo siku nyingine, taa zipo miaka yote ila chance kama hiyo huja Mara moja kwa miaka 20.
 
Nunua kitu Roho inapenda Mimi naitamani sana Toyota Crown Majesta 3UZ-FE V8 aisee huu Mnyama hapa chini achana nao kabisa


 
Kwahiyoulishawahi kuwa mfilaji?
ndio nishawai ilasas nimeacha.....saw saw unauliza ushawaikuwa mzizi ...kwenye jamii wote wapo japokuwa vinaonekana ni vitendo vya aibu ..ikiamua kuacha unaacha na YESU anasamehe kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…