Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Uko sahihi mama.
Labda wangechora kundi fulani ingeonekana sawa
 
Hapana sijakwazika ila sikuweka uzi kutaka kushauriwa mkuu maana naona wengi wanashauri wakati nilitaka kujua mawazo yao juu ya wanawake wenye tattoo ila mmepokea kivingine kuwa nataka kuchora tattoo
Lol, tunasemaga 'mitazamo gongana'

Nadhani suala la Tattoo bado lina fikra dhaifu miongoni mwa wengi sio tu Africa (Tanzania) bali hata duniani... labda na vile wachora tattoo wanavyojiweka sababu mtu kachora Tattoo ya tako still atataka watu waione,
Najua Tattoo inapendeza ikiwa na maana kwa muhusika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kati ya vitu sifanyi ni kama hivyo mkuu. Nawasikiliza tu ujinga wao nawaambia sio kila kitu lazima tufanye wote wengine tumeachia wengine.
Uwe muwazi hivyo hivyo na msimamo wako
 
hao jamaa watakuwa wanaangalia sana porn tena zile za red hair [emoji23][emoji23] wadada wengi huko ni kama latino fulani hivi wenye tattoo. Waambie waache angalia porn Mkuu.
 
Oooh.. kwamba akivaa nguo lazima aionyeshe eeh?
Hapana sio uonyeshe hiyo tatu mfano umechora kwenye paja,kiuno mtu hawezi ona lakini matendo yako yatakujulisha tu wewe ni mtu gani
 
Mm binafsi nazipenda lakini jinsi zinavyo tafsiriwa ndio Mmmmmh [emoji849]! Hata nikimuona mtu kachora halafu si msanii naona mtu aliedata balaa, ila kiukweli nazipenda
bhasi mwenyewe naishia kujichora piko.
Na mimi nataka nianze kuchora piko tu sema naogopa nazo huwa kuna watu zinawakataa wanavimba mwili. Naishiaga kwenye henna tu sema nitachora piko very soon.
Nina mwaka kila siku nasema naenda kuchora naghairi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…