Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

You said it all
Siku chora afu kuwa nae. Atakutumia na kukudump kisha anaoa ambaye Hana tattoo yoyote hata ya kusingiziwa tu.
Wanaume akili zao wanazijua Wenyewe tu.
Akili kumkichwa chako
 
Ukitaka kuchora utangaze tender na nita-bid. Mimi nachora hadi kwenye ulimi
 
Back
Top Bottom