Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.
Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.
Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.
Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.
On my way....Njoo uchukue
Ni malaya tu uyo bibi yakoJamani jamani!!! Mbona huu utamaduni wa kutoboa pua ni wa miaka mingi,
bibi yangu ana miaka 90 sasa na ana kipini puani na hakuwahi kuachika kwa mume wake mpaka wamezeeshana.
Ahsante mkuuNi malaya tu uyo bibi yako
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo
Mmoja wapo ana tattoo mmoja ndio hawezi kuchoraWanasema wao hawapendi kabisa kujichora tattoo, surprisingly wao wanapenda sana wadada wanaojichora tattoo.
Huwa wanaume ni viumbe waongo sana, halafu wadada bado hawajang'amua hilo.
DuuuuuTatto Ya Kiuno ! View attachment 1145959
Pongezi ziende kwa serekali hii ya awamu ya tano
Mimi mwenyewe napenda Tattoo ya mwanamke kiunoni ...
Maajabu mke wangu akiniletea hizo mambo za kuchora tattoo naweza nikamlamba Keleb