Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 709
- 919
Mwanzoni Makonda akiwa ndiyo ametoka kuteuliwa nilidhani ataishia umbali wa kutupa jiwe. Nilikosea kufikri hivyo kwa sababu nimekuja kubaini yafuatayo;
1. Mikutano ya Makonda watu wanahudhuria wenyewe bila kusombelewa kwa gharama ya Chama.
2. Wahudhuriaji ni wasikivu sana. Ni tofauti na wahudhuriaji mikutano ya viongozi wengine wa CCM.
3. Makonda anajiamini sana kiasi kwamba haogopi kuwananga hata wapinzani wa Mama wa ndani ya CCM.
4. Amewakata kauli wapinzani wa ndani ya CCM na nje ya CCM.