Binafsi sikuwahi kusikiliza wimbo hata 1 ya Burna boy so baada yakuona jamaaa anazungumziwa Sana na Mafanikio anayopata kwenye mziki wake Ikabidi Jana nisikilize wimbo wake hata 1 ilinijidhihilishe jamaa kweli anajua?
Nikaanza na wimbo " Way too big" bonge moja ya track na nyingine nyingi nikagundua jamaa ameibadili game ya Nigeria music kiasi kikubwa ana ubunifu mzuri wa nyimbo zake anastahili kabisa kuwa best male in Africa