- Thread starter
- #41
Kabisa mzee babaWay too big ni boonge moja wimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mzee babaWay too big ni boonge moja wimbo
Patoraking ni nyoko.. sananaheshimu mafanikio ya Burna ila Patoranking namuelewa zaidi
Harmonize mmakondeKwa hiyo kwako Nani top kwa Africa?
Kwani lazima kutaja jinsia? Hayo n maamuzi yako binafsi, ustake wote wafanye km wee unavofanya.Kwani Kuna ubaya gani kutaja jinsia yako mbona me nasema kabisa Ni me
Sikiliza na 'on the low',jamaa ni balaa sana,halafu huyo producer wake asimuache asilani,anampatia sanaHiyo Ye nimetoka kusikiliza Sasa hiv sijaikubali kivile labda kwa sababu nimeisikia Mara 1 sijui ila anybody nimeikubali Mara tu nimeipa blue tick
Binafsi sikuwahi kusikiliza wimbo hata 1 ya Burna boy so baada yakuona jamaaa anazungumziwa Sana na Mafanikio anayopata kwenye mziki wake Ikabidi Jana nisikilize wimbo wake hata 1 ilinijidhihilishe jamaa kweli anajua?
Nikaanza na wimbo " Way too big" bonge moja ya track na nyingine nyingi nikagundua jamaa ameibadili game ya Nigeria music kiasi kikubwa ana ubunifu mzuri wa nyimbo zake anastahili kabisa kuwa best male in Africa