Itafute Album yake Twice As Tall kuna mawe ya maana... Iyo way too big ni moja kati ya ngoma katika iyo albumBinafsi sikuwahi kusikiliza wimbo hata 1 ya Burna boy so baada yakuona jamaaa anazungumziwa Sana na Mafanikio anayopata kwenye mziki wake Ikabidi Jana nisikilize wimbo wake hata 1 ilinijidhihilishe jamaa kweli anajua?
Nikaanza na wimbo " Way too big" bonge moja ya track na nyingine nyingi nikagundua jamaa ameibadili game ya Nigeria music kiasi kikubwa ana ubunifu mzuri wa nyimbo zake anastahili kabisa kuwa best male in Africa
Hiyo Ye nimetoka kusikiliza Sasa hiv sijaikubali kivile labda kwa sababu nimeisikia Mara 1 sijui ila anybody nimeikubali Mara tu nimeipa blue tickNimeanza kumjua jamaa alipotoa nyimbo yake ya Yawa Dey,ila nyimbo yangu kali kutoka kwake ni "YE".
Wewe Kama MimiBinafsi naelewaga magoma ya Patoranking
Kumbe mnaomsikiliza mpo wengiWon da Mo
Monster you made
hiyo won da Mo Ina miaka zaid ya sita, kitamboKumbe mnaomsikiliza mpo wengi
mzee wa abuleBinafsi naelewaga magoma ya Patoranking
Binafsi naelewaga magoma ya Patoranking
Kwa hiyo kwako Nani top kwa Africa?Burna boy anasound ya kipekee ila hana ukali huo anaopewa
NB; nnamsikiliza na ananyimbo flan zinazonikosha ila hawezi kuwa top in Africa
Kwa hiyo kwako Nani top kwa Africa?
DaiKwa hiyo kwako Nani top kwa Africa?
Binafsi naelewaga magoma ya Patoranking