Nilikuwa naogopa kumtongoza, jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

Nilikuwa naogopa kumtongoza, jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Kweli uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti. Huyu dem anakaa mitaa ya temeke pile Sasa tulikutana kwenye mitaa ninayo kaa yeye akawa anaulizia nyumba moja hivi ikabidi niombe namba lakini pia nikamuonyesha njia mpaka kwa huyo mtu.

Sasa baada ya kuchukua hiyo namba nikawa kila siku namsalimia tu naogopa kumwambia ukweli kutokana na mwonekano wake sikutaka kwenda pupa maana simba mwenda pole ndie mla nyama. Jana Sasa nikasema Poteleapote mimi nalipuka Leo namwambia ukweli wangu.

Nikampigia kwa namba yangu ya Voda (hii namba yeye hana anayo namba ya tigo tu), nikaona yupo kwenye makerere sana nikajua kwakua ni sikuku labda kapata order. [emoji116]

Nikamwambia Leo mimi nakuhitaji nikasikia anasema short time 5000 kulala 20000 lahaula nilichoka ghafla mpaka mzee Osama akalala, nikasema moyoni asante mungu umenionyesha ukweli kwa kile kilichojificha.
 
5000 mbona bei za vibinti vichafu vichafu mkuu mbona unatuangusha. Muulize usafi mlango wa uwani bei ngapi?
 
Kwenye hiyo picha uliyoatachi ndio yeye?
 
Back
Top Bottom