Nilikuwa nashangaa Simba SC wanakosaje magoli matatu ya wazi kabisa?

Nilikuwa nashangaa Simba SC wanakosaje magoli matatu ya wazi kabisa?

Mpe muda akueleze kilochomkuta
Screenshot_20250903-081146.png
mwenzake popoma yeye ashajitambulisha Zamani
 
Lkn mchizi usimfananishe na popoma bhn, sema amezingua Kuja na jina limekaa kiutamu
Kweli mkuu
Hilo jina lake linafanya fc libol.o zisimame na tuanze kumfate PM kuomba namba na mambo mengine yafuate,
Kumbe ni OKWBOBANSUNZU?
 
Yaani kama mimi tu nikilisikia jina la cocastic! Natamani kukatafuna haka katoto bila hata ya limao, chumvi, pilipili, kachumbari, au chachandu! Tena kanavyo shabikia timu ya simba ndiyo kabisaa!

Yaani natamani kukabanika kwenye moto unaowaka vizuri! Halafu nakatafuna taratibu, huku kakilalamika "Babu Tate Mkuu nitafune taratibu"
Hao ndo aina ya mashabiki mtani alionao
 
Back
Top Bottom