Nilikuwa nashangaa Simba SC wanakosaje magoli matatu ya wazi kabisa?

Lkn mchizi usimfananishe na popoma bhn, sema amezingua Kuja na jina limekaa kiutamu
Kweli mkuu
Hilo jina lake linafanya fc libol.o zisimame na tuanze kumfate PM kuomba namba na mambo mengine yafuate,
Kumbe ni OKWBOBANSUNZU?
 
Hao ndo aina ya mashabiki mtani alionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…