Nilikuwa natembea na mke wa mtu, nilinusurika kufumaniwa nikaamua kumuacha na kutubu ila nafsi yangu haina amani

Nilikuwa natembea na mke wa mtu, nilinusurika kufumaniwa nikaamua kumuacha na kutubu ila nafsi yangu haina amani

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka,

Namshukuru Mungu alininusuru, ningepata fedheha ya milenia kwasababu mwenye nzigo ni mtu wangu wa karibu sana ni zaidi ya ndugu, hata wakati wa kupeleka mahari ukweni nilikuwemo kwenye msafara.

Baada ya kunusurika nikatubu na kuapa kamwe sitorudia tena, lakini pamoja na kutubu kote nafsi yangu haina amani kabisa najihisi mwenye hatia kila nikikumbuka, kibaya zaidi jamaa ananiamini sana mpaka mambo yake ya ndani huwa ananiambia

Mimi ni mshauri wake mkuu,nawaza nilipe faini pasipo yeye kujua ili niwe na amani, Kuna pesa namdai 550,000 aliahidi kunilipa tarehe 30 mwezi huu lakini jana kaja kujieleza hakufanikiwa kupata nisubiri mpaka 30 mwezi ujao,

Sasa mimi nataka hiyo pesa asinilipe nijitoze faini mwenyewe au kwa lugha nyingine nichangie mahari, naomba ushauri wenu wanaJF nipeni mbinu wanaJF nifanyeje ili yeye abaki na pesa na mimi nibaki na utulivu wa nafsi.
Ngoja akukule kiboga kwanza muwe ngoma droo
 
Poor, Poor , Poor, Poor, Pua, pua, Puwa , Puwa kabisaaa

Huu uzi bila picha tatu, yako ya Rafiki yako na Ya Nzigo (sijui ndio mzigo unajua mwenyewe) ni batili
[emoji23][emoji23][emoji23] hakika watu mumevurugwa
 
Easy,easy....easssssy.....yaan usipotake easy bas hata ulipe hiyo pesa bado utaendelea kuumia....embu chukulia kawaida maana lishatokea mkuu.Watu wanakula wakwe zao na bado they continue to call them ......mother in law.
 
Easy,easy....easssssy.....yaan usipotake easy bas hata ulipe hiyo pesa bado utaendelea kuumia....embu chukulia kawaida maana lishatokea mkuu.Watu wanakula wakwe zao na bado they continue to call them ......mother in law.
Heeee ,huyo mkwe labda awe kichaa!!
 
Hapo nenda tu kwa jamaa akuoe mke wa pili hata kwa miaka 5 uendelee kutubu.
As a man lazma uwe na mipaka. Hii biashara ya vibolodinda ndo inaleta ungese kama huu. Ungechapiwa wewe sa hv ungekua unafyum kama chungu cha kuchemshia dawa. Shenz taipu. Faken[emoji1784]
Umeshaolewa mara ngapi mkuu?
 
Dah! ila tunapoelekea sijui, yani mdada unajua kabisa huyu kaka ni rafiki wa mmeo nje ndani na ukweni alikuja bado unamvulia chupi tena sio mara moja, bado na mkaka unajua kabisa huyu ni mke wa rafiki yangu kipenzi bado unamtongoza na unavua boksa na hapo bado jamaa mnaendelea kua marafiki, hivi watu wana roho gani?
 
dah! ila tunapoelekea sijui, yani mdada unajua kabisa huyu kaka ni rafiki wa mmeo nje ndani na ukweni alikuja bado unamvulia chupi tena sio mara moja, bado na mkaka unajua kabisa huyu ni mke wa rafiki yangu kipenzi bado unamtongoza na unavua boksa na hapo bado jamaa mnaendelea kua marafiki, hivi watu wana roho gani?
Mwanamke akiamua kukupa ukikwepa wewe kidume
 
Hahahaa yaani huu uzi umenikumbusha eti Kuna mtu alikua na mchepuko Sasa mchepuko ukamuambia una mimba huyo jamaa kahudumia mpaka kajifungua, Sasa Kama siku kadhaa zimepita kaenda kumuona mwanae anafika ndani anakutana na njemba nyingine askari imejaa tele Kama pishi la ubwabwa anaulizwa vipi,eti nimekuja kumuona mwanangu, mwanao yupi ?? Mdada anaulizwa anasema ye hamjui kadi ya clinic imeandikwa jina la yule askari akachezea kichapo halafu kalazwa ndani karudi kwa mke wake asubuhi sura haitamaniki, Sasa mke wake anatusimulia anacheka maana hakulala nyumbani alivyomuuliza kamjibu shombo,Ila baada ya kurudi na manundu anaeleza bila hata kuulizwa yupo tu ndani anakandwa na mke wake akiambiwa kwenda hospital eti anaona aibu Sasa nilivyosoma tu Neno kufumaniwa nimekumbuka😄😄 Bora wewe haukupigwa
 
Fanya vile unaona ukifanya nafsi yako itatulia.
 
Good bado una ubinadamu ndani yako. Endelea kutubu hiyo hali itaisha.

Wengine hawaoni shida, wanaona powa tu.
Toba ya kweli ni kwenda kutubu kwa huyo rafiki yako na umweleze huo mpango wako wa kumuachia hiyo Tshs 550,000.
 
Back
Top Bottom