Huo utakuwa labda urefu wako ndio unakufanya unajiona na wewe ni mrefu, hicho ni kimo cha kawaida sana.Urefu ambao unaweza kusababisha uheshimike ni kati ya 150-165cm ukizidi hapo huheshimiki unashang'awa
Sasa unaanza kuleta pumba! IGP camilus wambura yupo kwenye 150cm,Afande naibu kamshina david mishime yupo kwenye 152 huo ni mfano tu wa polisi wazito! sasa hiyo 178cm umetoa wap??Umetokea wapi mkuu, huko uliko yaelekea watu wengi ni wafupi sana, sidhani kama kuna anaeweza kuwa polisi.
Polisi urefu kimo cha chini ni centimetre 178 (futi tano na inchi nane)
Huyo ni medium sio tall. 170cm na kuendelea unaheshimika sana, is how you move.Urefu ambao unaweza kusababisha uheshimike ni kati ya 150-165cm ukizidi hapo huheshimiki unashang'awa
Mkuu unajua kwamba 150 cm haifikii hata futi 5 ?Sasa unaanza kuleta pumba! IGP camilus wambura yupo kwenye 150cm,Afande naibu kamshina david mishime yupo kwenye 152 huo ni mfano tu wa polisi wazito! sasa hiyo 178cm umetoa wap??
Ndo hivyo 95% ya polisi wapo chini ya 155cmUkisecho matangazo ya ajira mengi ya polisi minimum height ni 5.8 Foot
Hao kama waapo chini ya hapo siwezi shangaa, nadhani sote tunaijua mambo yalivyo hii nchi
Fanya uchunguzi vizuri, 155 cm ni futi 5.1Ndo hivyo 95% ya polisi wapo chini ya 155cm
Kuna mdau yupo humu kanishangaza kuamini kwamba watu wenye senimita 155 hadi 165 ni warefu,Wenzako tuna 198 na point
Ova
Me n 189Urefu ambao unaweza kusababisha uheshimike ni kati ya 150-165cm ukizidi hapo huheshimiki unashang'awa
Mimi sijawahi pishana na askar aliyenizid urefuKuna mdau yupo humu anasema mapolisi wengi hawazidi sentimita 150 (futi 4.9), namshangaa sana sijui kapata hizo data wapi
utakuwa unaishi poriniMimi sijawahi pishana na askar aliyenizid urefu
Misime unamjua vizuri?, Wambura simjui vizuri ila Kwa Misime hapungui 180cmSasa unaanza kuleta pumba! IGP camilus wambura yupo kwenye 150cm,Afande naibu kamshina david mishime yupo kwenye 152 huo ni mfano tu wa polisi wazito! sasa hiyo 178cm umetoa wap??
Hakuna uongo mm sijafika 180cm ila nimekutana na mishe mara kadhaa nimemzid urefuMisime unamjua vizuri?, Wambura simjui vizuri ila Kwa Misime hapungui 180cm