Nilikuwa nauchukulia poa urefu wangu kuona ni kawaida kumbe kuna priveledge kadhaa nazipata bila kujua

Unajisifu na urefu wa mwili....huku urefu wa akili zako naona kabisa si shwari!
 
Kuna siku nilishangaa jinsi salamu za heshima (shikamoo, mkuu, kaka, baba, karibu sana boss, n.k) mpaka nikasema leo vp, nikaanza kuangalia nimefanya nini jana au leo asubuhi mbona naheshimiwa sana leo? Labda ni ile chai ya tangawizi? au pengine ni maji mengi niliyokunjwa mapema asubuhi? Sikupata jibu hadi nilipogundua siku hiyo nilikuwa nimepiga pamba freshi. Mimi huwa si-maindi sana mavazi lakini tangu siku hiyo nilijua watu wanavutika sana na jinsi ulivyovaa! Siku nikitana mashkamoo, ma-heshma makubwa, boss, mkuu, kiongozi, nk natupia ka-pamba ka-kali basi. Urefu unalipa.
 
Hilo la kuibiwa, sidhani kama ni kweli...pengine unavyomiliki sio vya gharama mpaka uibiwe
 
Nilidhani umepanda cheo kumbe unaishi mazingira hatari

Tafuta hela mkuu uache kutembea na miguu hao vibaka utawasikia Tu, ujenge sehemu zenye usalama na ukiweza Kupaki gari ya maana za huko 400m hiyo shikamoo utapokea mpaka utachoka hata kutoka Kwa waliokuzidi umri na urefu
 
Bila picha ni Uongoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…