Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Siwezi kuvaaa hii jezy aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazingua pakubwa sana nao. Sijaona ulazima wa mimoo kuwa mingi kiasi hicho
Mo extra ndogo
Mo extra kubwa
Mo foundation
Mo sport
Mo asuarance
Jezi pair moja matangazo ya mo matano
Bado tena sandaland n.k.
Mwisho wote mtakubali ya kuwa Simba inaanguka kidogo kidogo.
AaaahaaKwahiyo pesa ya Mo mnaitaka lakini hamtaki kumtangazia bidhaa zake.
Mnakoelekea simba mtawatisha wadhamini maana mnawaonyesha tabia zisizotabirika kibiashara.
Tabia za namna hii si nzuri kwa uwekezaji.
We fala kweli eti mashabiki hawajielewi, hao mashabiki wanaojielewa wa timu nyingine wanatoa sh ngapi za kuendesha club zao?Ila Simba Kuna ujinga mwingi Sana. Sema wamekuta mashabiki hawajielewi watawatumia mpaka mwisho. Kwa ujinga huu, hakuna kununua jeshi. Wapate hasara akili iwaingie.
Hayo matangazo ni bure? Halafu kwani mashabiki wananunua hadi bukta?Mo extra ndogo
Mo extra kubwa
Mo foundation
Mo sport
Mo asuarance
Jezi pair moja matangazo ya mo matano
Bado tena sandaland n.k.
Issue sio kununua bukta, issue ni kuwa matangazo mengi sanaHayo matangazo ni bure? Halafu kwani mashabiki wananunua hadi bukta?
Mbona ile ya utopolo ina matangazo ya gsm mgongoni mkononi nk hamsemi..? Kumamamaqe katoeni hela kumzidi mo.
Mo arenaMo extra ndogo
Mo extra kubwa
Mo foundation
Mo sport
Mo asuarance
Jezi pair moja matangazo ya mo matano
Bado tena sandaland n.k.
Kati ya jezi ya simba na utopolo jezi ipi ina maneno mengi?Mwisho mudi atataka mashabiki tuchore tattoo zenye picha yake