Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ni fedhea mwanaume kushikwa tako. Zingekua jezi special kwa ajiri ya wanawake kidogo isingeleta mkanganyikoView attachment 2822173
Afu kuna alama ya mkono kwa nyuma.......ahahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni fedhea mwanaume kushikwa tako. Zingekua jezi special kwa ajiri ya wanawake kidogo isingeleta mkanganyikoView attachment 2822173
Afu kuna alama ya mkono kwa nyuma.......ahahahaa
Je haya matangazo ni bure?Issue sio kununua bukta, issue ni kuwa matangazo mengi sana
Hapana. GSM magodoro (GSM Foam) imetumika kwenye jezi za Namungo na Singida FG kama sikosei.Hivi na jezi za yanga zina GSM magodoro?[emoji23]
Asante CEO wa MeLT, tutajirekebisha.Kwahiyo pesa ya Mo mnaitaka lakini hamtaki kumtangazia bidhaa zake.
Mnakoelekea simba mtawatisha wadhamini maana mnawaonyesha tabia zisizotabirika kibiashara.
Tabia za namna hii si nzuri kwa uwekezaji.
Wabuni logo nyingine, hiyo iliyowekwa hapo nyuma ipo kama mashine. HAIPENDEZI.View attachment 2822173
Afu kuna alama ya mkono kwa nyuma.......ahahahaa
HahahaaaaAsante CEO wa MeLT, tutajirekebisha.