Nilikuwa Nawaza tu.

Micro IQ

Member
Joined
May 13, 2018
Posts
73
Reaction score
122
Nilikua nawaza tu Hivi hii JF forum hatuwezi kuichange iwe saccos,then tununue magari yetu mazuri, mabus na boda boda zituletee faida,.

hiyo faida tununue meli nyingi za kusafirisha mafuta na makontena toka mabara ya Ulaya na Asia.

Na ifikie hatua tukipata faida kubwa tumnunulie kila member wa hii Forum ndege yake halafu tumjengee na magorofa?

Hii idea mnaionaje? Nimeileta kwenu kwani hizo Forum zingine naona hawana future.


[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]fanta

leo ndio kwanza ya kwanza etii vipi niendelee kuivuta si nina mawazo chanya.
 
Usiache kuvuta hiyo kitu inakufaa mkuu Micro IQ
 
bangi za mchana
 
vp mkuu,hyo ktu umechanganya na mbegu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…