Nilikuwa nimelala chali, "tembo" akanigandamiza sana kifuani

Utakuwa umetekenywa na ubolo wa tembo sio mguu wa tembo
 
Mgandamizo ulifanyika kwa sekunde kama kumi. Nilipotambua kuwa huo mgandamizo ni wa kichawi na kwamba njia pekee ya kushinda ni kumuomba Mungu, mgandamizo ulitoweka ndio nikaweza kuamka na kusimama.
Hizo nyumba za kulala mpaka usali dah hizo nyumba na zikae tu.
 
Umesema ulitoka haraka kitandani kisha ukaanza kuomba........
Ulitokaje nawe ulikuwa umegandamizwa?
 
Hizo nyumba za kulala mpaka usali dah hizo nyumba na zikae tu.
Kusali ni muhimu, Mkuu. Hujasikia yanayowapata wanaoishi katika nyumba zenye CCTV, na mageti yenye walinzi?
 
Kusali ni muhimu, Mkuu. Hujasikia yanayowapata wanaoishi katika nyumba zenye CCTV, na mageti yenye walinzi?
Ni kweli mkuu kusali ni muhimu,wakati mwingine ukiwa tungi ukiona tu kitanda usingizi huo,unajikuta umesahau kusaliukishtuka ni asubuhi alarm inakusha uwahi kibaruanj.
 
Hivyo, nakutia moyo ndugu, ukikutana na vitendo vyovyote vya kichawi/kishirikina, popote pale, usiogope wala usifanye haraka kuhama nyumba; muombe Mungu, anasikia, atakulinda na kukuokoa na hila za mashetani wanaopanga kukuangamiza
Asante, mkuu
 
Huo uzito wa tembo unaoongelea ni wa tembo Hawa wanaopatikana Tanzania.....!

Isije kuwa huko kwenu Kuna vidubwasha mnaviita tembo ndo unaoongelea hapa!
Yaani jamaa anamaanisha ulikuwa ni mguu wa Tembo tu ila mwili haukuwepo.
 
Haya mambo yenu ya kusadikika huwa mnajitesa bure tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…