Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

Hii yote ni kuzuia wapumbavu wachache kusambaza propaganda za kizushi! Watanzania linapokuja suala la uzushi mitandaoni tuko vizuri sana!

Sasa katika kipindi hiki cha kumzuia Amsterdam ni muhimu sana kuzuia wajinga wasilete ngebe mitandaoni
una matatizo huko kichwani maamuma wewe
 
JPM ana akaunti twitter, msemaji wa serikali, msigwa,ccm ipo,polepole yupo,bashiru naye yumo..

Juzi tu wameitumia mitandao kuomba kura.

Leo wanaona ni ya kishenzi.

Twitter,facebook,instagram napendekeza wazifutilie mbali hizo akaunti zao wote maana wameona sio muhimu kuwepo kwa internet ku accesa hiyo mitandao.
 
Wacha uongo wewe unafahamu kwa nini Trumpet alishinda USA? Hawa walikuwa wanajiandaa kuleta fujo na kuua watu, hivi unafikiri Serikali imelala? Hadi vituo feki vilikuwa vimeundwa nchi jirani, wewe endelea kulala tu lakini Serikali hii iko macho. Tanzania ni baba lao. Tunasubiri wale vichwa maji waliokuwa wanatishia tishia waanzishe fujo wakione cha moto.
 
Mungu ambariki lissu.

Ila taarifa za awali nilizopata zimeniuma sanaaaa, yani uchaguzi ni maigizo,matokeo yametengenezwa tayari.

Eee Mungu wewe wajua CHADEMA yangu ipo ktk namna gani mioyoni mwa watu
 
Mungu tunaemwabudu atatusimamia na atatupa kiongozi tuliemchagua sio viongozi wanaotokana na miungu kwa damu ya Yesu Jua litasimama.HAKI IKITENDEKA MUNGU ATASIMAMA NA TAIFA
 
Sana namchukia sana huyu kibaraka!

Na siyo mimi tu watz wengi sana wameahirisha kumpigia kura sababu ya ujinga wake wa kumajiri Amsterdam mbelgiji awe anaingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Mpinzani akikuwa Slaa siyo hawa vibaraka wa sasa hivi.
Acha upumbavu wa kitoto
 
Anayesema mitano tena sio ng'ombe ni Watanzania na hicho ndicho wanachokwenda kufanya in less than 10 hours to come.
Kwa sasa, endelea kuita ng'ombe, kesho baada ya matokeo, tutaheshimiana tuu.
P
Sawa kaka Pascal Mayalla kwa free and fair election tutaheshimiana sana tu.... sijui kama wanaweza?
 
Nyie ndiyo akina tomaso, mlitahadharishwa mpakue VPN mkapuuza as usual... Pole
Siyo wakina Tomaso mkuu,hatukuamini kuwa raisi wa wanyonge anaweza akawafanyia wanyonge hivi kweli ametunyonga. Basi ni jambo langu.
 
kwani kuzimwa mitandao kunakuondoleaje imani yako kwa tundu lissu?
kapige kura acha kulia lia
 
Hii yote ni kuzuia wapumbavu wachache kusambaza propaganda za kizushi! Watanzania linapokuja suala la uzushi mitandaoni tuko vizuri sana!

Sasa katika kipindi hiki cha kumzuia Amsterdam ni muhimu sana kuzuia wajinga wasilete ngebe mitandaoni
Kwa bht mbay unatumia makanygio kufkiria hc tunaheshim ujinga wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…