fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
Anayesema mitano tena sio ng'ombe ni Watanzania na hicho ndicho wanachokwenda kufanya in less than 10 hours to come.
Kwa sasa, endelea kuita ng'ombe, kesho baada ya matokeo, tutaheshimiana tuu.
P
Haupaswi kua hivyo.... huku JF tuko watu tofauti...
Be dynamic p