LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Mchuano ni mkali usipime! wanakaba mpaka penati, wamezidiwa, mziki wa Lissu ni mnene, mtu mmoja analihenyesha kundi kubwa, wanahaha asishinde urais, jamaa kavuka vizingiti vingi yupo anasonga mbele, kura zitapigwa atakabiliana na kizingiti cha mwisho kutangazwa mshindi haya yatakuwa maajabu haijawahi kutokea mpinzani kushinda uchaguzi katika Tanzania tangu siasa za vyama vingi vianze.Suala la kuzimazima mitandao linaleta utata katika kipindi hiki cha uchaguzi