RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Wambieni wazime upande wa CHADEMA & ACT tu, ili nyie muendelee kuiperuzi hio mitandaoSasa hizi hasira zako unamtolea nani hapa? Jinga kweli wewe!
Nenda kajinyonge ufe! Selikali ndio imezima sasa ili kuzuia kusambaza takataka zenu. Kama vipi kinukishe, si Lisu wenu kasema kinukisheni?
Nani anataka usalama bila amani ya kweli. Tunataka Amani ya kweli sio hii ya kulazimishanaNi kwa usalama wako wewe pamoja na bibi zako kule kijijini.
Wao AMANI wanayoihubiri, ni yule anayepigwa kibao, asijipanguse na asipige kelele!Wazee wa kamati ya AMANI wametulia kama hawapo
Sawa kabisa ni hamna kituUkiacha hapa JF sidhan km upo mwingine.
Twitter, FB, Insta, What's app, Telegram, YouTube, had Play Store hai-access
Ukiacha hapa JF sidhan km upo mwingine.
Twitter, FB, Insta, What's app, Telegram, YouTube, had Play Store hai-access
Hao wanasheria wao binafsi huwa wanaingilia mambo ya taifa la tanzania ikiwemo kuwapigia kampeni wateja wao?Watanzania kibao wana wanasheria nje. Acha hizo. Kaongee na matajiri wote wakubwa utagundua wote wana firms za sheria nje wanawatumia. Hata Marehemu Mengi at times alishakuwa nao. Yaani zero IQ ndiyo tatizo letu tunawaza mwisho pua.
Hayo matokeo ya wizi? Huko Bunda mjini zinapikwa kura kwa sasa. Acha free game kama maji haitakuwa mma. Kama unaamini ushindi kwa nini kutumia nguvu kubwa hivi? Tanzania hatukutegemea tutafikishwa hapa. Tumegeuka nchi ya Dictotorship? So sad.Anayesema mitano tena sio ng'ombe ni Watanzania na hicho ndicho wanachokwenda kufanya in less than 10 hours to come.
Kwa sasa, endelea kuita ng'ombe, kesho baada ya matokeo, tutaheshimiana tuu.
P
Kigogo anajua.Kwanini JF hawajaifungia?
Wanaumia kishenzi sema hawana namna.Hata wao wanaumizwa, ila wamejitoa ufahamu. Na weng wao hawakupakua VPN maana walidhan haiwezekan
Pole sana dogo!Wambieni wazime upande wa CDM&ACT tu ,ili nyie muendelee kuiperuzi hio mitandao wapu.mb.vu nyie maccm.
Ni kweli ila ningeumia zaidi kuona tunaingia kwenye matatizo kwa ajili ya uchochezi.Nina hakika hujafurahia pamoja na maneno yako ya kujitia moyo.
Takuuliza jambo dogo;
Leo asubuhi kulisambaa taarifa kuwa Z'bar polis wameua watu kadhaa, hakuna chombo chochote cha ndan kilitoa taarifa ile iwe kwa kukanusha au kukubali.
Sasa kwa habari km hizo, unajuaje kuw n uzushi au uchochezi? Unajuaje kuwa n kweli au uongo?
Nachokiona kwenu ni kumezeshwa ujinga na mmeumeza kweliHao wanasheria wao binafsi huwa wanaingilia mambo ya taifa la tanzania ikiwemo kuwapigia kampeni wateja wao?
Amsterdam kuwa mwanasheria wa Lisu ni sawa, lakini hii ya kuingilia mambo ya uchguzi yeye ina mhusu nini?
Kwanini anataka kutuchagulia mtu wa kumpigia kura? Yeye kama nani wakati si raia wa taifa hili? Wana makubaliano gani na Lisu?
Yeye Lisu anatoa wapi mabilioni ya kumlipa Amsterdam mpaka anaacha kazi zake kumpigania Lisu awe rais wa tz?
Na Lisu alivyo mbumbumbu wa siasa anafikiri ataungwa mkono na wenye akili?
Tangu juzi kulikuwa na tetesi za kwamba mitandao ya kijamii itazimwa kuanzia leo tarehe 27/10. Binafsi sikuamini kabisa habari hii kwa sababu moja tu;
[emoji117]Hakuna athari itakayotokea kuharibu uchaguzi kwa watu kuendelea kutumia mitandao hii. Sasa imefungwa, bila taarifa kwa umma, au yawezekana mimi ndio sikubahatika kupata taarifa. Naumia mno, nasononeka sana ukizingatia mahali nilipo sina namna nyingine ya kupata habari kwa haraka zaidi ya kupitia twitter, wasp, insta au FB.
Kwa sababu hii, naamini kuwa uchaguzi huu ni muhimu pengine mwingine wowote uliowahi kufanywa hapo awali. Kweli JPM hana tumaini la kumshinda Tundu Lissu, na njia pekee ni kutumia ubadhilifu, naelekea kuamini hivyo japo awali sikuwa na imani hiyo.
Nina swali dogo tu, kungetokea nini kama mitandao hii ingeendelea kuwa active? Nini kimekusudiwa kufichwa ambacho hakitafumbuliwa hata siku wakiiwasha tena?
JPM na serikali yake wanalenga kufanya nini?
Kwa hakika hakutakuwa vurugu, sioni sababu ya vurugu. Ila kwa hili, linafanya watu wawe na hofu.Ni kweli ila ningeumia zaidi kuona tunaingia kwenye matatizo kwa ajili ya uchochezi.
Kwa kuwa inajulikana ushindi CCM 2010, 2015 ilikuwa ni mashaka basi alijua 2020 ndiyo tatizo zaidi. Na amejiandaa kisheria na ni haki yake. Katiba ya nchi haimzuiiHao wanasheria wao binafsi huwa wanaingilia mambo ya taifa la tanzania ikiwemo kuwapigia kampeni wateja wao?
Amsterdam kuwa mwanasheria wa Lisu ni sawa, lakini hii ya kuingilia mambo ya uchguzi yeye ina mhusu nini?
Kwanini anataka kutuchagulia mtu wa kumpigia kura? Yeye kama nani wakati si raia wa taifa hili? Wana makubaliano gani na Lisu?
Yeye Lisu anatoa wapi mabilioni ya kumlipa Amsterdam mpaka anaacha kazi zake kumpigania Lisu awe rais wa tz?
Na Lisu alivyo mbumbumbu wa siasa anafikiri ataungwa mkono na wenye akili?
Usichokielewa ni kwamba hao hawaleti hela bila wao kupata returns!Nachokiona kwenu ni kumezeshwa ujinga na mmeumeza kweli.
Unapaswa kujua tu, hakuna nchi ya sub-sahara inayoweza kujiendesha bila hao mnaowaita mabeberu na ikawa strong, haipo.
Mnachofanya ni kuuchukia wimbo huku mnatikisha vichwa