Nilikuwa siamini, sasa nimekubali "BIKIRI ZIPO"

Nilikuwa siamini, sasa nimekubali "BIKIRI ZIPO"

Amini data siyo information.....................unatakiwa uchukue data then uziprocess...wewe unachukua information then unatudanganya sisi hapa,ungeduu wewe ndo utupe izo habari..

Ndugu yangu wewe unanitafutia kifo. Huku hatanafasi ya kusaliana na binti haipo, ukionekana halafu tena ni mgeni hata kama hujachachua kifo chako.
 
Kama wana achia tigo sasa kuwa na bikira maana yake nini wana mdaganya nani? Maana lengo la ku maintain bikira ni kuwa mwaminifu sasa kama nyuma sio waaminifu itakuwa kukifunguliwa mbele?

Hawajamaa wapo-serious na hili jambo. kwajinsi walivyo na sheria kali siyo rahisi mtu kufanya haya matendo. Tz uhuru tulionao katika masuala ya kujamiiyana hanamfano .
 
Na ndio maana kwenye nchi kama hizo tatizo la ukimwi wanalisikia kwenye bomba huku kwetu hata ukitaka mke wa mtu unagonga acha hao wasichana ambao hawajaolewa na hawana mwenyewe............

Yap! nalinakubali kabisa, huku hakuna hata condom!! pia hata ukimwi wanakisia kwenye vyombo vya habari!!
 
Yap! nalinakubali kabisa, huku hakuna hata condom!! pia hata ukimwi wanakisia kwenye vyombo vya habari!!

basi huko inaonesha watu wengi watakuwa wanavunja rekodi ya dunia kwa idadi ya watu wanaopiga nyeto!!!!!!!!!!!!!!
 
Je vipi rate ya maambukizi ya UKIMWI ikoje ?

UKIMWI wanasikia tu kwenye vyombo vya habari, japo wansema wapo watuwachache walioupata baada ya kwenda inchi nyingine, lakini waliathirifamilia zao zaidi, kwani siyo rahisi kusambaa. Hawa jamaa wanasheria ambazo kuzitekeleza ni sawa na mfungwa wa kise ya mauwaji.
 
Vumbi unatuyeyesha tu. Sasa ina maana wanaoana vipi? Si lazima uwepo mwanzo wa kutongozana???

Kama hata hujaonja , utakubali vipi kwamba Bikra zipo? What you observe is just a dramma! Wake up Vumbi... take one then chakachua.
 
bikra, tigo, chakachua, na mengine mengi yafananayo. Nani anafaidi bikra, tigo? Vipi huyu jamaa aliweka dip stick aka-prove ubikra huo?
 
basi huko inaonesha watu wengi watakuwa wanavunja rekodi ya dunia kwa idadi ya watu wanaopiga nyeto!!!!!!!!!!!!!!

hahaaaaa na biashara ya sabuni za kuogea inalipa kweli...lol:redfaces:
 
ushadanganywa ona sasa na wewe umeamini
 
vipi u lesbian na ushoga huko?
Nadhani utakuwa umeshika kasi maana mnaweza kuzuia hilo
wakasababisha madhara mengine zaidi....
yanii uko sahiii kabisaaa nchi kamaa hizo ma lesbian na ma punkesti wako wa kumwagaa.cse wee huwei mfugaa mtoto wa kiume tokea abelehe adi aba umri wa miaka 29,then ukawa unamuacha na wanaume wezake kama si ku ba ndu li wa yeye basi yeye ata ba ndua wezake
 
nipo nchi ya ndugu zangu kwa kipindi kinachokaribia miaka miwili, sijawahi kuchakachua hata siku moja kutokana na sheria zilivyokali. Kwenye basi huwezi kukaa na mtu wa jinsia tofauti, hosipitali huduma inatolewa kwa kufuata jinsia, shule mapaka vyuo vikuu vya serika hakuna mchanganyiko, huwezi kuwasiliana na msichana kwa njia ya simu au e-maili ukipatika mauti ni yako, huwezi kusimama au kusalimina na msichana. Kila raia analinda wasichana, ukionekana unongea na msichana raia wanakukwida na ikifahamika ulikuwa unatongoza basi kifo chako.marafiki zangu wamenieleza kila msichana unayemuona katika huu mji ni bikira. Kweli tembea uone. Tz nilikuwa nachakachua bila bughudha yoyote na sijawahi kukutana ta bikira japo nimechakachua kwa kipindi cha zaidia ya miaka 10, nikitoka huku hii nchi sirudi ngo!!!!!
UmeJuwaje.......... Au hao marafiki zako wamejuwaje kuwa kila mwanamke huko ni bikra......... KAMA KWELI HAMJACHAKACHUWA????
 
nataka kwenda huko labda naniliu yangu itasalimikacozi hapa nilipo wanaivizia sana!
 
Wapi huko?? Somalia au Saudia??
 
Matendo 15:20, 1Wakorintho 6:13, 6:18, 1Wakorintho 10:8 Wakolosai 3:5, 1 Wathesolonike 4:3, Pia katika Tourati 22:13-21

Tunaona wasichana waliotegemewa kuolewa wakiwa bikra. Na katika katika agano jipya Mariamu mama yake na nabii Yesu, angekuwa na mawazo sawa na yale yaliyomo kwenye mawazo ya watu wengi wa kimagharibi basi asingekuwa leo mfano wa mwanamke bora, ambaye amezaa mtoto bora, kiasi wengine kumuabudu.

Mwenyezi Mungu aliutukuza uadilifu wa Mariamu na atawatukuza vijana wote wa kike na wa kiume ambao watabaki mabikira hadi kuoana na kuwasaidia wawe na furaha ya kweli katika ndoa zao Amin Isha'Allah.
 
Back
Top Bottom