Nilikuwa sielewi mtu akisema "sina hata mia", sasa ninaelewa

Nilikuwa sielewi mtu akisema "sina hata mia", sasa ninaelewa

alcacer

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
238
Reaction score
203
Habarini wanajamvi,

Acha kwanza nicheke hahahahaahaa na huo msemo tajwa hapo juu zamani kipindi kile nasoma nilikuwa nawasikia tu maBro wakisema dogo sina hata mia mimi kwa uelewa wangu mdogo nikadhani kama wananipanga tu yaani unakosaje mia kwa mfano.

Leo hii nimekuja gundua ni kweli mtu akisema sina hata mia anamaanisha nini

Je, wewe hii hali ishawahi kukutokea?

[emoji116][emoji116]
 
Back
Top Bottom