Yes, kudhaniwa ni TISS ni maujiko, kunasaidia ili watu wasikudhanie wewe ni mtu wa mchezo mchezo, na usikute ndio maana hata siku ile niliruhusiwa kuingia ikulu.
P
Hapa ninapoishi, usafiri wangu ni boda boda, nyumba haina uzio wala geti, boda boda yangu inalala nje, nguo tunaanika tunalaza nje. Majirani wana mageti na walinzi, wanavunjiwa na kuibiwa, lakini mimi hata kibaka tuu anapita mbali.Kudhaniwa tiss raha sana huku mnapopaita mkoani ninapoishi kuanzia kazini hadi mkuu wangu wa idara hunidhania hivyo kwakuwa Mimi muda mwingi nipo kimya sina stori nao zaidi ya kichat jf naongea zangu na simu.. Basis Mimi wakinidhania hivyo sikubali wala sikanushi nawaaacha njiapanda
Tuna tatizo kubwa sana la uzalendo.Hivi huyu ni raia wa Tanzania kabisa anapumua kwenye ardhi ya Tanzania, kweli ni ajbu kabisa
Ule mtandao wa wikilikisi utatoa uzi muda siyo mrefuMkuu naishia hapo na sitasema tena ila nimeumia mno, huyu mtu alosema bado yupo kwenye systems tena ngazi zenyewe za juu kabisa, kwanza nimewaza usiku mzima kwamba how comes Rais ni Wa Guam kwanini alindwe na hao wa hapo pembeni?
Kisa Mny*****enge aliyejiweka katika kamji ka kaskazini sehem.moja, sasa anawaamini origin yake ndo wa mlinde
Hapa ninapoishi, usafiri wangu ni boda boda, nyumba haina uzio wala geti, boda boda yangu inalala nje, nguo tunaanika tunalaza nje. Majirani wana mageti na walinzi, wanavunjiwa na kuibiwa, lakini mimi hata kibaka tuu anapita mbali.
Kwenye appointments za kufanya interviews, sikataliwi, hata siku ile pale ikulu, nadhani nilipata fursa ya kuuliza swali kwa fikra hizo hizo.
Tatizo ni ukifanya kazi kwenye madudu, wafanya madudu wanakuwa very uncomfortable, nilipokuwa TBC, boss wangu alikuwa very uneasy na mimi, kila nikibuni trips za overseas approval ni faster faster.
Hata humu jf, watu wananiheshimu fulani na nimeisha ripotiwa kwa Max na Mike.
Ni heshima kubwa kulitumikia taifa at that capacity.
P
No sijawahi kuwa na xl, ninayoitumia is now just parked nje kwangu. Nilikuwa naipigia trips za Arusha, Iringa, Dodoma etc.Mkuu bado unayoileile ambayo ulikuwa unaenda nayo hadi Moro xl
Mkuu, uliyendika hivi ni kweli ni wewe pascal au akaunt imevamiwa?...Yes, kudhaniwa ni TISS ni maujiko, kunasaidia ili watu wasikudhanie wewe ni mtu wa mchezo mchezo, na usikute ndio maana hata siku ile niliruhusiwa kuingia ikulu.
P
Great man.. Nilisomaga Uzi kuhusu kuendesha pikipiki kwa umbali huo one day nikajitungua kutoka dar hadi Moro aisee ilikuwa great adventureNo sijawahi kuwa na xl, ninayoitumia is now just parked nje kwangu. Nilikuwa naipigia trips za Arusha, Iringa, Dodoma etc.
Wakati ule wa Moro, nilikuwa nafanya Maonyesho ya Nane Nane Moro, mimi nakaa Dar, asubuhi naenda jioni narudi Far Moro ni just 90 min, Dar-Dodoma 4 hrs. Dar Moshi 5 hrs.
P
Ebu tuthibitishie kwa ushahidi wa kufukunyua mafaili,vinginevyo nipolojo tu.Ajabu ipo wapi mbona mwalimi nyerere alikuwa analindwa na polisi wa North korea miaka ya 80 kipindi coup zilikuwa zinashamiri
Point yangu sio kwamba naamini unachokisema wala nini hapana. Ukweli uko wazi kuwa tuliyenaye yuko kwa minajiri ya kuangusha uchumi hilo liko wazi, na tena wewe ni mmoja wa wanaomsapoti, katika fuatilia yangu sijaona posts yoyote ambayo inamzungumzia mfalme huyo vibaya ambayo uliwahi kuisapoti namaanisha baada ya 2016. Je kwanini nisiamini ya kuwa kuna walinzi toka rwanda ambao wanamlinda. Maana hata kwa macho tu jinsi mambo yanvoenda hata kma ni mwizi kivipi ila mtanzania, hawez fanya anayoyafanya. Kitu ambacho namaanisha inawezekan na ninaombee isewe kweli, lakin pia siwez kuamini chochote toka kwako, wewe na musiba hamna tofaut. Utofaut unakuja jinsi tu mnavotafuta vyeo.
Nikukumbushe tu pascal hii nchi ikianguka si wewe wala babu yako atakuwa salama haijalishi una phd au triple phd za elimu utafulia tu. Badala ya kulilinda tumbo lako sasa hivi tupigane kuikomboa nchi yetu isiingie katika vurugu.
Bahat mbaya naweza sema unaweza jikuta katika hangaika yako hujawahi gusa nchi zenye vurugu kama Drc,Burundi,south sudan na the like. Nakushaur ebu jaribu tembelea hizo nchi ukimaliza ebu tembelea kwenye kambi za wakimbizi popote dunian uone jinsi wenye elimu zao kama nyinyi walivorostika.
MARA MIA NIMUAMINI BRITTANICAA NA UONGO WAKE AMBAE WALAU ANAONEKANA ANAUMIA NA YANAYOENDELEA HATA KAMA NI MATANGO POLI KULIKO NIKUAMINI PASCAL AMBAE NAJUA KABISA MAANDISHI YAKO YAPO ILI UPATE CHEO
MARA YA MWISHO NDUGU ZAKE KUPELEKA CHAKUA SEGEREA SIJU LINI??NAONA AMEPAKUMBUKAWewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
Hizo siyo idara za usalama hayo ni makalio ya CCMkama ni kweliwa kulaumiwa ni idara yetu ya usalama na vyombo vyetu vya ulinzi
Wajisikieje wako Nangwanda korosho inawahusu.Mkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?
in fact sijawahi kuona mfalme akilindwa kiasi kile. inasemekana ni Kweli Guam mfalme wake analindwa na wajeda wa nchi jirani.Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Kwa sasa you are no longer the former one.You are selling the nation for your lust of power and your stomach.Or you had your orders on what to do when you were questioned at parliament or state house.Hapa ninapoishi, usafiri wangu ni boda boda, nyumba haina uzio wala geti, boda boda yangu inalala nje, nguo tunaanika tunalaza nje. Majirani wana mageti na walinzi, wanavunjiwa na kuibiwa, lakini mimi hata kibaka tuu anapita mbali.
Kwenye appointments za kufanya interviews, sikataliwi, hata siku ile pale ikulu, nadhani nilipata fursa ya kuuliza swali kwa fikra hizo hizo.
Tatizo ni ukifanya kazi kwenye madudu, wafanya madudu wanakuwa very uncomfortable, nilipokuwa TBC, boss wangu alikuwa very uneasy na mimi, kila nikibuni trips za overseas approval ni faster faster.
Hata humu jf, watu wananiheshimu fulani na nimeisha ripotiwa kwa Max na Mike.
Ni heshima kubwa kulitumikia taifa at that capacity.
P
Mr salim?
Kama naanza kupata picha vile! Japo sijaiamini sana hii picha ila siielewi.. Juzi kati kama week 3 zilizopita nilikuwa naenda maeneo yangu ya kusaka tonge (bandarini). Nilikua na mchongo mmoja ulinilazimu kutoka home asubuh sana.Rwandani.Wamemshika pabaya mkulu.
Wageni.wamelaza na usingizi fofofo.
RIP Tanzania.
Mkuu Freyzem, ni mimi mwenyewe, kwa sisi tunaotumia verified accounts, huwa hatuvamiwi, ukiona mtu kaandika kitu ujue ni yeye.Mkuu, uliyendika hivi ni kweli ni wewe pascal au akaunt imevamiwa?...