Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Watanzania mnapenda kuongea sana
Laleni nyumbani mtulie
Amani na usalama uliopo ji kwa sababu ya vyombo vyetu makini vya dola
Msijifanye u much know saaaana...laleni mtulie
 
Hapo nilimaanisha kwamba/au niulize kwamba. Inamaana hakuna mfumo wa ulinzi ambao haumuhusishi rais? Mfumo ambao unajitegemea kiasi kwamba hata mkuu wa nchi akionekana anazingua una nguvu ya kudhibiti!
Nimekuelewa sana.

Kwanza elewa, huyu mTanzania nambari wani. Hiviunaelewa anacheo gani kwa hao waTanzania maalum unaowazungumzia?
Hivi unaweza kuelewa maana ya 'Amri' kwa hao jamaa inapotolewa na huyo mTanzania maalum!

Ni nani kati ya hao waliomo kwenye utaratibu unaouzungumzia anayeweza kuweka ubishi mbele ya 'amri' ya mTanzania huyu.

Unaweza kusema watu hao unaowazungumzia wapo nje ya kundi la hao wasio uliza ikitolewa amri.

Haya, kwa sasa kundi hilo utalitoa wapi. Hebu piga akili ujiulize kwa hali ilivyo sasa hivi.

Wewe huoni hata akina Mwinyi ni kauli za kujichanganya na kujiuma uma tu kwenda mbele? Ni nani unayedhani anaweza kukohoa kwa lolote.
 
Kwamaana hiyo, kila raisi anapoingia anakuja na mfumo wake wa ulinzi wa nchi? Ina maana usalama wote wa nchi upo mikononi mwa jiwe?
Sawa yeye ni amirijeshi mkuu. Kwahiyo akiamua asitoke hakuna atakayemtoa! Na kwasababu mfumo upo hivyo inamaana raisi wote waliopita waliondoka kwamazoea tu ila wangeamua wangekaa madarakani coz wao ndio final say! Hakuna chombo chochote kilichopo juu yake!
 
Uzalendo ni pamoja na kujivunia kilicho chako
 
we brother Pascal Mayalla naona huu uandishi uliotukuka hujawahi kuuacha. Mimi nikupongeze tu mtu kutoka Guam
 
Iko wazi MBONA mfalme wa Guam ni pandikizi toka nchi ya kusadikika lengo kuu ni kuvuruga na kuivunjavunja nchi ya Guam kwa interest za nchi ya kusadikika. Ataivunjavunja kila eneo kuanzia uchumi, umoja, Amani, nk.Ili nchi ya kusadikika iwe juu kiuchumi, liko wazi hilo.
 
Pumbavuuuu kabisa!!!!hizi taarifa za kishenzi huwa mnazitolea wapi????haiwezekani na haitawezekana!!!!!vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara kufanya ulinzi kwa VIP's wote
Acha hasira mzee hii michezo haitaji hasira hizo
 
Naungana na wewe,wale jamaa salute kwao walikuwa professional sana
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
wenzio wanaongelea mfarume wa GUAM wewe unakurupuka na JIWE... hovyo kabisaa
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Ni kweli kabisa, kama ambavyo haiwezekani kwa:-
1.5tr ya Zitto

USIZUNGUMZIE PIA KUHUSU

GSR,
PIPAZ
KYATOOZ

KWA NN WAWAKILISHI WA GUAM HAWAKUWAHIKUJADILI MATUMIZI YAKE, KABLA YA MANUNUZI?

NA KAZA WA KAZA AMBAYO WAGUAM WANATAKA WAFAHAMISHE
 
K
Kwa akili za Mange kimavi Magu ni mhutu anayelindwa na watutsi,yaani kachemsha hata mtu asiyejua propaganda anajua mhutu na mtutsi hawaezi kuaminiana kwenye issue za ulinzi.
 
Huna ujualo bora uendelee kutojua maana ukijua utafaidika sana.
 
Jee huu uvumi ni kwel? Labda maana wenye majukumu hayo ktk kisiwa cha Guam sasa wamepewa kazi nyingine e.g. kukusanya na kulinda magodown ya mazao ya mbaazi, mpunga, kahawa na zao pendwa korosho, kufunga ma - bureau de change, kujenga kuta n.k
 
Mmmmhhhh[emoji2960][emoji40]
 
Naungana na wewe,wale jamaa salute kwao walikuwa professional sana

..kuna waliotaka kutuaminisha kuwa waliomshambulia Mh.Lissu ni sawa na vibaka tu unaoweza kuwaokota mtaani.

..lakini ukisoma taarifa kuhusu majeraha ya Mh.Lissu unakuta kuwa mengi yako miguu kati ya goti, nyonga, na baadhi tumboni.

..sasa fikiria kama risasi hizo zingempata KICHWANI au KIFUANI tungekuwa tunazungumza habari gani leo hii? JE, mwili wa Mh.Lissu ungepatikana ukiwa ktk hali gani?
 
Ulivyoiweka haya kama kwa kukisia tu - chukulia kuwa kwa wakati huu tulionao, huko si kukisia tu; ni uhakika mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…