..nakubaliana na wewe kwamba tukio lile lilikiuka maadili. Ule ulikuwa ni UNYAMA.
..lakini natofautiana na madai yako kwamba ni tukio la kizembe, au aliyelitekeleza alikuwa mzembe.
..kwa maoni yangu waliotekeleza tukio lile ni watu waliofuzu na mahiri ktk kutumia automatic rifles.
..ndani ya muda mfupi, na katika mazingira magumu ambapo mlengwa hakuwa katika eneo la wazi, waliweza kurusha risasi 38 na kati ya hizo 16 zilimpata mlengwa.
..maana yake ni kwamba kwa kila risasi 2 walizorusha, 1 ilimpata mlengwa.
..kwa wenye uzoefu na automatic rifles watakubaliana na mimi kwamba washambuliaji walikuwa ni PROFESSIONALS.
..lakini pia washambuliaji hao waliweza kutoroka eneo la tukio bila KUKAMATWA na mpaka leo hii imeshindikana KUWATAMBUA.
..Again, natofautiana na wewe unaposema shambulizi lile ni la kizembe au lilitekelezwa na watu wazembe.