kwn mwenyewe huyo mtoto wenu?............bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Wewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
ndio maana tunaendelea kuwa maskiniAjabu ipo wapi mbona mwalimi nyerere alikuwa analindwa na polisi wa North korea miaka ya 80 kipindi coup zilikuwa zinashamiri
Mkuu naishia hapo na sitasema tena ila nimeumia mno, huyu mtu alosema bado yupo kwenye systems tena ngazi zenyewe za juu kabisa, kwanza nimewaza usiku mzima kwamba how comes Rais ni Wa Guam kwanini alindwe na hao wa hapo pembeni?
Kisa Mny*****enge aliyejiweka katika kamji ka kaskazini sehem.moja, sasa anawaamini origin yake ndo wa mlinde
Mkataba wa Malipo ni huko Mererani na ndio maana hata SIEJi haruhusiwi kukagua.
Watu wanajaribu kuchokonoa mambo makubwa ambayo hawana uwezo wa kuyaelezea.Kuna watu hawalali kwa usalama wa Taifa letu na tutumie njia zinazostahili kama tuna mashaka na mambo haya makubwa.Njia mojawapo ni kamati ya bunge inayohusiana na mambo hayo....bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
mkuu mtazamo, ujue kuna watu humu humu waliongelea hata uraia wa jamaa, hata hili limeongelewa sn hapa jukwaani......Sidhani ...labda kama security circles za huko jirani ziwe ni zetu since kp "alipowekwa" madarakani. Yaani mossad kumlinda Trump ....
Kwani mkuu hii nayo si ni mpya?kwn mwenyewe huyo mtoto wenu?.........
analindwa na nduguze
nasikia jamaa ndio anemilikishwa baada ya kujengwa ukutaMkataba wa Malipo ni huko Mererani na ndio maana hata SIEJi haruhusiwi kukagua.
keHuyu ISIS ni Jinsia gan kwan
Absence of evidence is not evidence of absenceEvidences!??
Pole mkuu watu wa jamii yenu huwa mnaelewa taratiiiiiiiiibu sanaaaaaaa na hata sasa yapo mengi mnooo bado utaendelea kusema si kweli ila ipo siku utakuja hapa jukwaan kusema unasikitika kugundua kuwa kitu fulani hukuwa unaamini ila sasa umeamini na umesikitika sana. Kwa taarifa yako hata Mkuu wa Gesh la Gwam hana ushawishi kwa walio chini yake na anadharaulika na wanamuita 2GB wakimaanisha hana capacity kwa position aliyo nayo!Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Yaite mapovu ila Mkuu Daudi Mchambuzi ungetumia uwezo wako wa kuchambua kwa upande wa pili maana kuna hombwe la uongozi. Viongozi wanahama, mnadai wananunuliwa. Ruzuku inaliwa mnajifanya hamjui. Viongozi wanatema chuki, mnadai ndiyo demokrasia ya kukosoa. Kweli "Nyani hajui kundule!"Haya mapovu yanatosha kufua maturubai 20 ya chama.
Eeeeeeeh...Acheni uchochezi na wivu, nchi yetu imepiga hatua sana mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanajikuta wanashindwa kujizuia mpaka wanaamua kuja kuomba ajira kwenye nchi yetu, hili ni jambo la kupigiwa mfano duniani kote. Hakuna nchi yoyote iliyoweza kuweka "vivutio vya wanajeshi" kama nchi yetu tukufu. Na hizi ni "juhudi" kubwa za raisi wetu mtukufu na sasa ni dhahiri shairi tunaenda kuishinda hii "vita ya kiuchumi".
aaaaahhhh haya yote yanarudiwa tu watu walishaongea,tafuta nyuzi utazikuta humu........Kwani mkuu hii nayo si ni mpya?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] 2GBPole mkuu watu wa jamii yenu huwa mnaelewa taratiiiiiiiiibu sanaaaaaaa na hata sasa yapo mengi mnooo bado utaendelea kusema si kweli ila ipo siku utakuja hapa jukwaan kusema unasikitika kugundua kuwa kitu fulani hukuwa unaamini ila sasa umeamini na umesikitika sana. Kwa taarifa yako hata Mkuu wa Gesh la Gwam hana ushawishi kwa walio chini yake na anadharaulika na wanamuita 2GB wakimaanisha hana capacity kwa position aliyo nayo!
Inawezekana vipi hii kitu jamaniiii mi bado siamini unajuaMkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?