Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

upo nje ya mada kabisa.

Punguza jazba.
 

Inaburudisha sana wanajeshi wa nchi jirani kuja kuomba ajira kwenye jeshi letu ilihali vijana wa JKT tena wasomi wanasota mtaani bila ajira!!!
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Huwezi amini kwa sababu huwa huamini nakushauri endelea kutoamini
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Shanagaa, hivi kwanza inaanzaje hii yeye nani atoe order ya kulindwa na wanajeshi wanje Ili iweje!
 
Hapa ni uongo Mtakatifu kabisa.
Naona matukio yanyuma yameisha muda wake.
Sasa yanaanzishwa mengine.
 
Kama mwandishi anamaanisha TZ,anaongopa.Mimi nawafahamu baadhi ya vijana wa usalama wanaolinda pale Ikulu.Walio wengi ni wasukuma ambao tulikuwa tunaishi nao hapa Geita.
Hata yule Kanali anayekaa nyuma ya Rais anafahamika ni mtanzania aliyechukua nafasi ya yule Mhehe.
 
Dah, wewe ndo unaleta lingine. Amekwambia vijana wote ni wa kutoka kwa mtu mrefu? Halafu kumbe mmewekana WASUKUMA?
 
Taifa la Guam lililojaa mang'ombe wanajionea sawa tuu
 
Mbona povu jingi kiasi hiki?
 
Naamini Mungu ndiye mlinzi wangu tosha. Iweje naingia ndani ya nyumba ya ibada huku nimeva hirizi. ? Why Vatican Popes are protected by Swiss soldiers over decades invece gli Italiani?
Mbona unachanganya Vatican's na Guam? Vatican's ina President, ina Bunge, ina Mahakama? Halafu hujui ile ni nchi iliyondani ya Italy? Usichanganye mambo wewe. Ebu nenda kale labda njaa inakuwehua!!
 
Sasa hao walinda usalama wa Guam wanajisikiaje wanapoona bosi wao analindwa na askali kutoka Venezuela na wao wapo?
Ina maana jeshi la Guam halina ujuzi nasio madhubuti kumlinda kiongozi wa Guam ila Jeshi la Venezuela ni makini zaidi ya Guam.
Sasa huyo Bosi wa Guam anawalipa nini hao Venezuela, kifupi wamekubaliana nini kwa kazi hiyo?
Kuna mwana usalama mmoja aliyeasi Guam kuna maneno mazito alishawahi kuongea zidi ya bosi wa Guam na Venezuela.
Chama kinachotawala Guam kinatakiwa kijifunze sasa kutenganisha siasa na vyombo vya vya usalama vya Guam..
Sasa uzalendo wa huyu kiongozi mkuu wa Guam uko wapi kama analindwa na walinda usalama kutoka Venezuela.
Ina maana yule bosi wa venezuela anajua siri zote za Guam na akitaka kutuuza anatuuza tu... duh hatari sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…