Nilikuwa Sijui Mwenzenu

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,273
Habari zenu wapendwa wa MMU!!!

Jana nilikuwa napata Lunch maeneo fulani hivi nikiwa na mfanyakazi mwenzangu wakati tukiendelea kupata chakula meza ya karibu na sisi kulikuwa na wasichana watatu nao wanapata chakula............tukasikia:

Msichana wa kwanza: Mmmhhh we......akataja jina wewe mbona kila mwanaume wako wamuita Darling??? Maana huyo sio.....alitaja jina

Msichana aliyeulizwa swali: Akasema wewe j...akataja jina yaani wewe unafanya mchezo kweli niwaite kwa majina niumbuke?? Badala ya kusema .....akataja jina.... niseme....akataja jina.....hiyo haiwezekani nikiita kila mtu Darling hakuna atakayeshituka lakini mambo ya kuitana majina NOOOOOOOO ....................Etii ooohh John, Musa, Isaack siwezi mie wote ni Darling kwisha..................

Nauliza swali hivi kumbe hii ndo mbinu ya kivita unaita Darling, My Love, Baby, na mengine mengi ili kupotezea ukware ha ha ha ha mie nilikuwa sijui hili wajameni santeni sana enjoy your weekend wapendwa. Me Love You........................

DA
 
hilo ni bonge la cover...kila msichana unamwita dia...kwisha habari.
 
Nimeipenda hii mbinu.
Kwa kuavoid matatizo ni mbinu nzuri
 
mbona ipo sanaaaa hio tokea zamani
hata sms hapo huchanganyi
 
hehehee kuumbe! Sasa kuanzia leo mwendo wa kuitana majina tu!
 
Nimeipenda hii mbinu.
Kwa kuavoid matatizo ni mbinu nzuri

Yaani balaa tupu dah unajua nilishituka na kushangaa ile mbaya haya bana.............................
 
Nauliza swali hivi kumbe hii ndo mbinu ya kivita unaita Darling, My Love, Baby, na mengine mengi ili kupotezea ukware ha ha ha ha mie nilikuwa sijui hili wajameni santeni enjoy your weekend wapendwa.

DA

Mi sijui nikoje nachukia sana nikiitwa hivyo najua ni usanii mtupu na si upendi.
 
Mi sijui nikoje nachukia sana nikiitwa hivyo najua ni usanii mtupu na si upendi.

Si ndo usanii wenyewe huo ili asitofautishe Fidel na Asprin wala RR wala Teamo wala Bi-ii haa ha ha msinitoe macho hayo majina ndo yamekuja haraka haraka
 
Oooooh,Dena tena ukimwita MUpenz,ataisi unaingiza na masihara........bora hivo hivo,PATA UGUNDUZ ZAIDKAZ NI KWAKO

From now nikuitana R.....D....tu hakuna cha My Love wala Darling wala Baby wala Sweet ha ha ha jamani kweli kukua ni kujifunza mengi aisee
 
Si ndo usanii wenyewe huo ili asitofautishe Fidel na Asprin wala RR wala Teamo wala Bi-ii haa ha ha msinitoe macho hayo majina ndo yamekuja haraka haraka

Umenikuna sawa sawa una Tusker zako 10 kwa mama mwaj pale
 
Matapeli wa mapenzi hao..

Katika hali ya kawaida kama huyo ni mpenzi pekee waweza mchanganyia majina...mara lake..mara darling...mpenzi...babez...mume wangu...mke wangu... yote kuendana na mlipo pamoja na mood!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…