Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Dena kwanini hatujiulizi maswali mepesi....kwamba watu wanafumaniana,wanatukanana na kuvunjiana heshima lakini mwisho wa siku wanarudia matapishi yao! Nidhanivyo km ndivyo basi hata hayo ya kuitana majina ya jumla ni kutojiamini tu ila ukiwa mtaalamu wa kumkamata mwenzio kisawa sawa atakua anakuita hata jina lako la utotoni kuproof kwako amekolea..
Ha ha ha nakuja next week nitazikuta (halafu leo una mapointi hukunywa chang'aa jana nini??)
KUTOKANA NA UAMINIFU WA MAPENZI KUPTEA KATIKA KARNE HII, HUU NDIO UKWELI WA MAJINA YA WAPENZI
1. DARLING (KUBWA JINGA)
2.SWEET (ZEZETA)
3. HUSBAND (BUZI)
4. HONEY (KIMEO)
5. DEAR (WAKUZUGIA)
6. BABY (MCHOVU)
wewe mpenzi wako anakuitaje?
Habari zenu wapendwa wa MMU!!!Jana nilikuwa napata Lunch maeneo fulani hivi nikiwa na mfanyakazi mwenzangu wakati tukiendelea kupata chakula meza ya karibu na sisi kulikuwa na wasichana watatu nao wanapata chakula............tukasikia:Msichana wa kwanza: Mmmhhh we......akataja jina wewe mbona kila mwanaume wako wamuita Darling??? Maana huyo sio.....alitaja jinaMsichana aliyeulizwa swali: Akasema wewe j...akataja jina yaani wewe unafanya mchezo kweli niwaite kwa majina niumbuke?? Badala ya kusema .....akataja jina.... niseme....akataja jina.....hiyo haiwezekani nikiita kila mtu Darling hakuna atakayeshituka lakini mambo ya kuitana majina NOOOOOOOO ....................Etii ooohh John, Musa, Isaack siwezi mie wote ni Darling kwisha..................Nauliza swali hivi kumbe hii ndo mbinu ya kivita unaita Darling, My Love, Baby, na mengine mengi ili kupotezea ukware ha ha ha ha mie nilikuwa sijui hili wajameni santeni sana enjoy your weekend wapendwa. Me Love You........................DA
Heee hapo kwa kweli sijui utaeleza nini hakiyamungu duhhh
Kumbee mie liniiitaga mama huwa naliambia liniiite jina maana sijalizaa @ lisinikomazee
halafu kwenye simu amekusave nani? Dear, sweet au honey?!Ananiita Mama ...........................
Ha ha ha ha kaandika mama nanihinoo..........................
mimi nilikuta nimeseviwa as "ugonjwa wa moyo"
sina hamu.....
Habari zenu wapendwa wa MMU!!!
Jana nilikuwa napata Lunch maeneo fulani hivi nikiwa na mfanyakazi mwenzangu wakati tukiendelea kupata chakula meza ya karibu na sisi kulikuwa na wasichana watatu nao wanapata chakula............tukasikia:
Msichana wa kwanza: Mmmhhh we......akataja jina wewe mbona kila mwanaume wako wamuita Darling??? Maana huyo sio.....alitaja jina
Msichana aliyeulizwa swali: Akasema wewe j...akataja jina yaani wewe unafanya mchezo kweli niwaite kwa majina niumbuke?? Badala ya kusema .....akataja jina.... niseme....akataja jina.....hiyo haiwezekani nikiita kila mtu Darling hakuna atakayeshituka lakini mambo ya kuitana majina NOOOOOOOO ....................Etii ooohh John, Musa, Isaack siwezi mie wote ni Darling kwisha..................
Nauliza swali hivi kumbe hii ndo mbinu ya kivita unaita Darling, My Love, Baby, na mengine mengi ili kupotezea ukware ha ha ha ha mie nilikuwa sijui hili wajameni santeni sana enjoy your weekend wapendwa. Me Love You........................
DA