Nilikuwa Sijui Mwenzenu

Lakini Dena kwanini hatujiulizi maswali mepesi....kwamba watu wanafumaniana,wanatukanana na kuvunjiana heshima lakini mwisho wa siku wanarudia matapishi yao! Nidhanivyo km ndivyo basi hata hayo ya kuitana majina ya jumla ni kutojiamini tu ila ukiwa mtaalamu wa kumkamata mwenzio kisawa sawa atakua anakuita hata jina lako la utotoni kuproof kwako amekolea..
 
switie,,., yani nikiambiwa hivyo ndo amenimaliza,., kumbe kuna ishu nyuma ya pazia.
 

Kwakweli hapo ndo panaponichosha mie mwenzenu
 
Ha ha ha nakuja next week nitazikuta (halafu leo una mapointi hukunywa chang'aa jana nini??)

KUTOKANA NA UAMINIFU WA MAPENZI KUPTEA KATIKA KARNE HII, HUU NDIO UKWELI WA MAJINA YA WAPENZI
1. DARLING (KUBWA JINGA)
2.SWEET (ZEZETA)
3. HUSBAND (BUZI)
4. HONEY (KIMEO)
5. DEAR (WAKUZUGIA)
6. BABY (MCHOVU)
wewe mpenzi wako anakuitaje?
 
Kuna jamaa alishataja jina la house girl wakati yupo kifuani kwa bimkubwa guess what happened
 
KUTOKANA NA UAMINIFU WA MAPENZI KUPTEA KATIKA KARNE HII, HUU NDIO UKWELI WA MAJINA YA WAPENZI
1. DARLING (KUBWA JINGA)
2.SWEET (ZEZETA)
3. HUSBAND (BUZI)
4. HONEY (KIMEO)
5. DEAR (WAKUZUGIA)
6. BABY (MCHOVU)
wewe mpenzi wako anakuitaje?

Ananiita Mama ...........................
 
Hujui ata wanawake kwa wanawake wanaitana hayo majina?
 

Mhhhhh! DA haya mapenzi ya kisiku hizi usanii mtupu!! Wameyachakachua majina yenye uzito mkubwa kwa wapendanao mpaka yanaanza kupoteza ladha yake. Utamwitaje kila mwanaume/mwanamke unayemfahamu sweetie, darling, mpenzi na mengineyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…