Nilikuwa Sijui Mwenzenu

hahahaahahah lolz
hii hata mie nimeona leo ..
safi sana lolz 🙂
 
Kwa kweli mpendwa bora tu aniite Dena mambo ya sweet, my love, darling hapana kabisa wizi mtupu

Ukiitwa Dena, hilo povu utakalotoa sijui. Utaanza kulalamika oh you don't love me anyome. Povu kibao, kisa sikuiti darling, sweetheart, nk. Halafu kwenye simu yangu niki save number yako kwa jina lako, una edit na kuwa "My Baby" sijui "Mpenzi". Full kuchakachua hata jina lako. lol.
 
Mhhhhh! DA haya mapenzi ya kisiku hizi usanii mtupu!! Wameyachakachua majina yenye uzito mkubwa kwa wapendanao mpaka yanaanza kupoteza ladha yake. Utamwitaje kila mwanaume/mwanamke unayemfahamu sweetie, darling, mpenzi na mengineyo.

Yaani wewe acha tu yaani wamechakachua sana ila yote tisa
mtu akiniita Baby nachukia kweli sijui kwanini naona kama mwizi kabisa
 

Yaani EMT hiyo My Baby siipendi acha kabisa
 
Yaani wewe acha tu yaani wamechakachua sana ila yote tisa mtu akiniita Baby nachukia kweli sijui kwanini naona kama mwizi kabisa
sasa we bibie mama yako, baba yako, bibi, babu, mjomba, shangazi, kaka, dada na hata rafiki zako wote hao wakuite Dena, hata nanihino nae!! Mi naona kama sometimes inachosha eeh? Au tufute izo lugha za wenzetu tutumie kiswahili tu na lugha za makabila yetu coz hii lugha ya malkia hii inatuficha mengi sana!
 

Labda hapo ndo panapokuwa shida
 
Yaani wewe acha tu yaani wamechakachua sana ila yote tisa mtu akiniita Baby nachukia kweli sijui kwanini naona kama mwizi kabisa
Usijali Baby mambo madogo tu!!!!
 
Safi DA, kama unakumbuka siku za nyuma kuna uzi mmoja nilishawahi kuuchapisha kuhusu haya majina, kwamba kwa nini tusiitane majina yetu badala ya oh swetie, oh darling, mara baby mtu na umri wote, mara honey mara sijui nini etc, bt watu wakashadadia kwamba hayo majina yana raha yake, na nafiki kutokana na mada yako leo utakuwa umepata majibu kwamba haya majina yanatajwa wakati hayamaanishwi (kwa walio wengi, sio wote) so mi naamini huu ni wizi mtupu!wasalaamu SH.
 

Hata ule wa EPA unaafadhali..................naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…